Mbowe, Dr. Slaa kuzindua Kanda ya Pwani Jumapili

Ningeshangaa kama nisingesikia kuna maandamano. Natumaini wananchi wa Pwani (Kibaha) badala ya kwenda kuandamana na kuwasikiliza watu wasiotaka nchi itawalike watautumia muda huo kujifanyia shughuli zao za kimaendeleo.

madra graduate @ work
 
hapatakuwa na mafanikio makubwa kwa kanda hii mana ni strong hold ya ccm
 
Naukubali huu mfumo wa kikanda,ndio umeleta ushindi wa tanga selikali za mtaa.tunawamegaje
 
Ningeshangaa kama nisingesikia kuna maandamano. Natumaini wananchi wa Pwani (Kibaha) badala ya kwenda kuandamana na kuwasikiliza watu wasiotaka nchi itawalike watautumia muda huo kujifanyia shughuli zao za kimaendeleo.

kama hawana kazi? Nyie mngetengeneza fursa za ajira nani angekwenda ktk mikutano na maandamano? Wataftie hata ajira nyuma ya keybord hapo lumumba
 
Ningeshangaa kama nisingesikia kuna maandamano. Natumaini wananchi wa Pwani (Kibaha) badala ya kwenda kuandamana na kuwasikiliza watu wasiotaka nchi itawalike watautumia muda huo kujifanyia shughuli zao za kimaendeleo.
Soma juu maandamano ndio suna ya wananchi kujieleza,kutoa yaliyo mioni mwao,na kuhamasishana yapo,nadhani utakuwa unatamani ungekuwa mmoja wapo japo ulifukuzwa hukatazwi kuhudhuria na kuwasalimia wananchi waliojeruhiwa kwa ajili yako ukawauza kwa vipande thelathini vya fedha,umejiharibia kabisa mustakabali wa kisiasa kwa kukubali kutmika you were good
 
Ningeshangaa kama nisingesikia kuna maandamano. Natumaini wananchi wa Pwani (Kibaha) badala ya kwenda kuandamana na kuwasikiliza watu wasiotaka nchi itawalike watautumia muda huo kujifanyia shughuli zao za kimaendeleo.

Huu ndo Magufuli anaosema ni wivu wa kike!
 
Kama mwiguru alivyochorwa nani alete picha ya mwiguru hapa akiwa kibaha akihutubia nyasi

chadema ina wenyeviti wangapi wa serikali za mitaa mkoa mzima wa pwani,temeke,ilala na kinondoni
 
Chadema imetumia nguvu kubwa sana kujiuza Mikoa ya pwani lakini imeshindikana na imekuwa sio riziki
 
Mtasema mtachoka M4C inakuja kwa kasi, tofari juu ya accelerator, hakuna kusimama mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom