Yaani wewe ndio huelewi kitu, Hakuna njia nyingine zaidi ya uwatumia wasaliti.Hivi ni nani asiyejua kua Mbarouk ana kadi ya ACT?Kazi ya hiyo kadi ni nini?Hizo m.3 alizopewa zilikua na kazi gain?
Mbona dr.slaa ana kadi ya ccm?
Yaani wewe ndio huelewi kitu, Hakuna njia nyingine zaidi ya uwatumia wasaliti.Hivi ni nani asiyejua kua Mbarouk ana kadi ya ACT?Kazi ya hiyo kadi ni nini?Hizo m.3 alizopewa zilikua na kazi gain?
Wapiga kura wanamhitaji Mbowe sasa ninyi nini kinawauma? Achana na Chadema wachague mwenyekiti wao kama wanaridhika naye.
Haya ni maneno mfa maji,ni lini mmetangaza kumvua madaraka huyu Kansa?!
Ukiona mwanasiasa anayetaka madaraka kwa kuongelea ongelea watu badala ya mawazo na sera, ujue hana tofauti na zile karatasi ndefu laini (roller)!
"Mbowe alibadilisha majina ya Chiku Abwao na Susan Kiwanga huku akiwapachika Susan Lyimo na Lucy Uwenya. Baadaye Mbowe alikiri kosa na kuomba msamaha katika kikao cha Kamati Kuu,alisema.
Alisema hayo yote yanadhihirisha pasipo shaka kwamba mwenyekiti huyo amekosa uaminifu hivyo anapaswa kunyanganywa nafasi hiyo ya uenyekiti."
Alisema baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 chama kilipata nafasi tano za kuteua nafasi wabunge wa viti maalumu kuingia katika Bunge la Jamhuri ya Muungano, ambapo Kamati Kuu kilipitisha majina ya Suzan Kiwanga, Chiku Abwao, Halima Mdee, Mhonga Ruhanywa na Grace Kiwelu lakini Mbowe alibadilisha majina hayo.
source; magazetini leo.
My take; Je ni halali kutumia madaraka yako vibaya kuchakachua haki za wengine na kuweka ndugu zako?
Kansa Mbarouk.......something about his name...
Tuache kufikiria kwa kutumia Makalio ; yaani mtu mmoja anawaze kubadili majina ya Wagombea? Mbowe sio anae manage database. Labda pengine msichokifahamu ni kwamba haya majina yako kwenye database na sio kichwani mwa mtu kama Magamba mlivyo! Tumieni vichwa vya juu kuwaza na sio vichwa vya chini
mapenzi huficha ulemavu. wewe una mapenzi na mbowe huwezi kuona ulemavu wake
Maccm mbona mnaweweseka mkisiki Mbowe?Mbowe aachie ngazii.Hata kama chama ni cha mkwe wake.
Kansa aache kuweweseka Mbowe alishatoa mwaliko kwa wale wote wanaojiona kuwa wanaweza kupimana ubavu na Mbowe wajitokeze.Kama ana ubavu asubiri siku ya kuingia ulingoni wapimane ubavu.
wenye akili timamu wanapinga hoja wewe unahangaika na jina
Mbowe hafai kuwa kiongozi
mkuu ulisoma barua ya jaji