Wakati zito anamuuliza Lowasa 'mzee vipi!? Mbona kila anayechomoka anaelekea CDM? Hii inaniua mzee!'
Maana hata machali alihakikishiwa kuwa jamaa yupo njiani kujiunga nayo.
Unajadili majungu.
Taarifa zilizonifikia ni kwamba CHADEMA ipo kwenye wakati mgumu sana baada ya Lowasa kuweka masharti (conditions) kuwa ACT WAZALENDO lazima iwe sehemu ya UKAWA ili kuongeza nguvu katika umoja huo.
Inasemekana kuwa upinzani mkubwa umetoka kwa Mh. Mbowe ambaye ametafsiri sharti hilo kuwa ni sawa na kuwekewa kisu shingoni na Team Lowassa na wala kamwe hayupo tayari kurudia matapishiyake.
Inasemekana kuwa baada ya mvutano mkubwa, Mh amesikika akitishia kuingiza document ya Memorandum of Understanding kwenye 'Shredder' (Machine ambazo hutumiwa maofsini kuharibu documents/karatasi zenye taatifa za siri).
Wazee/washauri wakuu wa chama wamelalamikia jambo la Mh. Mbowe kushindwa kuweka "personal issues" pembeni kwa maslahi mapana ya chama.
Swali la kujiuliza: Hizi siasa za vinyongo na uhasama zitaisha lini?
Karibuni tujadili haya mambo muhimu kwa mustakabali wa Taifa.
Mbona sioni ni kwa namna gani Lowassa yuko kwenye position ya kuweka sharti lolote?
Hata ningekuwa mimi nisingekubali kwa Zitto kuwa sehemu ya Ukawa jamani, Edo aje lakini ACT hapanaTaarifa zilizonifikia ni kwamba CHADEMA ipo kwenye wakati mgumu sana baada ya Lowasa kuweka masharti (conditions) kuwa ACT WAZALENDO lazima iwe sehemu ya UKAWA ili kuongeza nguvu katika umoja huo.
Inasemekana kuwa upinzani mkubwa umetoka kwa Mh. Mbowe ambaye ametafsiri sharti hilo kuwa ni sawa na kuwekewa kisu shingoni na Team Lowassa na wala kamwe hayupo tayari kurudia matapishiyake.
Inasemekana kuwa baada ya mvutano mkubwa, Mh amesikika akitishia kuingiza document ya Memorandum of Understanding kwenye 'Shredder' (Machine ambazo hutumiwa maofsini kuharibu documents/karatasi zenye taatifa za siri).
Wazee/washauri wakuu wa chama wamelalamikia jambo la Mh. Mbowe kushindwa kuweka "personal issues" pembeni kwa maslahi mapana ya chama.
Swali la kujiuliza: Hizi siasa za vinyongo na uhasama zitaisha lini?
Karibuni tujadili haya mambo muhimu kwa mustakabali wa Taifa.
Taarifa zilizonifikia ni kwamba CHADEMA ipo kwenye wakati mgumu sana baada ya Lowasa kuweka masharti (conditions) kuwa ACT WAZALENDO lazima iwe sehemu ya UKAWA ili kuongeza nguvu katika umoja huo.
Inasemekana kuwa upinzani mkubwa umetoka kwa Mh. Mbowe ambaye ametafsiri sharti hilo kuwa ni sawa na kuwekewa kisu shingoni na Team Lowassa na wala kamwe hayupo tayari kurudia matapishiyake.
Inasemekana kuwa baada ya mvutano mkubwa, Mh amesikika akitishia kuingiza document ya Memorandum of Understanding kwenye 'Shredder' (Machine ambazo hutumiwa maofsini kuharibu documents/karatasi zenye taatifa za siri).
Wazee/washauri wakuu wa chama wamelalamikia jambo la Mh. Mbowe kushindwa kuweka "personal issues" pembeni kwa maslahi mapana ya chama.
Swali la kujiuliza: Hizi siasa za vinyongo na uhasama zitaisha lini?
Karibuni tujadili haya mambo muhimu kwa mustakabali wa Taifa.
ACT ni CCM, haiwezekani kuingia ukawa