Hizi habari sio za kweli. Ni mwendelezo wa siasa za kitapeli, kilaghai na kipuuzi ambazo kwa muda mrefu sasa zimekuwa zinaenezwa na CCM-ACT na mawakala wake. CHADEMA wanaendelea na kura za maoni kuanzia leo wakijandaa na vyama washirika ndani ya UKAWA kuchukua nchi October, 2015. Mleta uzi km huu ni tapeli, muongo na mnafiki. Tutakufuatilia tujue uko sehemu gani tukushughulikie. Mods wawe wanawapa ban wahuni kama hawa ambao kazi yao ni kueneza uongo na uzushi. Hiyo ACT sio chama cha siasa, ni genge la wahuni, majizi, matapeli, walaghai na wasaliti. ACT=CCM
Utamfuatilia wewe na nani kwa maslai ya nani ,mnakikundi cha kung'oa watu kucha.?
Huwa naamini katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu,lolote linaweza kutokea labda kama kuna uadui binafsi baina ya wanasiasa.
Hizi habari sio za kweli. Ni mwendelezo wa siasa za kitapeli, kilaghai na kipuuzi ambazo kwa muda mrefu sasa zimekuwa zinaenezwa na CCM-ACT na mawakala wake. CHADEMA wanaendelea na kura za maoni kuanzia leo wakijandaa na vyama washirika ndani ya UKAWA kuchukua nchi October, 2015. Mleta uzi km huu ni tapeli, muongo na mnafiki. Tutakufuatilia tujue uko sehemu gani tukushughulikie. Mods wawe wanawapa ban wahuni kama hawa ambao kazi yao ni kueneza uongo na uzushi. Hiyo ACT sio chama cha siasa, ni genge la wahuni, majizi, matapeli, walaghai na wasaliti. ACT=CCM
Hizi habari sio za kweli. Ni mwendelezo wa siasa za kitapeli, kilaghai na kipuuzi ambazo kwa muda mrefu sasa zimekuwa zinaenezwa na CCM-ACT na mawakala wake. CHADEMA wanaendelea na kura za maoni kuanzia leo wakijandaa na vyama washirika ndani ya UKAWA kuchukua nchi October, 2015. Mleta uzi km huu ni tapeli, muongo na mnafiki. Tutakufuatilia tujue uko sehemu gani tukushughulikie. Mods wawe wanawapa ban wahuni kama hawa ambao kazi yao ni kueneza uongo na uzushi. Hiyo ACT sio chama cha siasa, ni genge la wahuni, majizi, matapeli, walaghai na wasaliti. ACT=CCM
Umenifurahisha hapo ulivyosema utanifuatilia unishughulikie...Nakuamuru uwe makini kibao kisije kukugeukiwa wewe mwenyewe!
Mbowe atafakari umuhimu wa Zito kwenye umoja huo .
Kama ni kweli basi chadema kisipoangalia kitaendelea kuwa chama cha upinzani milele.Kwenye siasa za demokrasia hakuna adui. Hapo ni hoja tu hakuana vita za msituni ya kutumia bunduki hivyo hakuna haja ya kujenga chuki.Sisi wote ni watanzana.
Wapinzani inabidi waanze kwanza kwa kuitoa CCM madarakani kwa kura baada ya hapo wajipange kuleta maendeleo kwa kushika nyadhifa zote muhimu kuanzia wakurugenzi ,wakuu wa wilaya,wakuu wa mikoa,mawaziri,mabalozi na wakuu wa idara mbalimbali.Huko ndiko wanapoumizwa wananchi. Uraisi wamwachie Lowasa.
Tunataka aache kuleta upuuzi na propaganda zisizo na maana hapa jamvini. Wala sikuwa na maana hiyo ya kung'oa watu kucha mkuu. Hiyo ni kazi ya CCM na mawakala wake
Hizi habari sio za kweli. Ni mwendelezo wa siasa za kitapeli, kilaghai na kipuuzi ambazo kwa muda mrefu sasa zimekuwa zinaenezwa na CCM-ACT na mawakala wake. CHADEMA wanaendelea na kura za maoni kuanzia leo wakijandaa na vyama washirika ndani ya UKAWA kuchukua nchi October, 2015. Mleta uzi km huu ni tapeli, muongo na mnafiki. Tutakufuatilia tujue uko sehemu gani tukushughulikie. Mods wawe wanawapa ban wahuni kama hawa ambao kazi yao ni kueneza uongo na uzushi. Hiyo ACT sio chama cha siasa, ni genge la wahuni, majizi, matapeli, walaghai na wasaliti. ACT=CCM
Mbona unaukimbia ukweli? Mbona unapambana na kivuli chako? Habari hizi ni za ukweli 100%. Unapomtishia mtoa mada unaonyesha ni jinsi gani usivyojua siasa, unavyofanya siasa za virusi vya ebola na ukimwi, na za maji taka pia. Wewe umepewa taarifa. Unasema ni za uongo. Na ukiona imekuwa utasemaje? We jipange tu. ACT sio chama cha wahuni ila wewe ndo mhuni tena mwalimu wa wahuni. Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
U look so stu.pid politically...
It seems ur so primitive in terms of seeing rare opportunities, hujui maana kabisa ya siasa ww, kiazi kabisa...