Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Mbowe atafakari umuhimu wa Zito kwenye umoja huo .
Kama ni kweli basi chadema kisipoangalia kitaendelea kuwa chama cha upinzani milele.Kwenye siasa za demokrasia hakuna adui. Hapo ni hoja tu hakuana vita za msituni ya kutumia bunduki hivyo hakuna haja ya kujenga chuki.Sisi wote ni watanzana.
Wapinzani inabidi waanze kwanza kwa kuitoa CCM madarakani kwa kura baada ya hapo wajipange kuleta maendeleo kwa kushika nyadhifa zote muhimu kuanzia wakurugenzi ,wakuu wa wilaya,wakuu wa mikoa,mawaziri,mabalozi na wakuu wa idara mbalimbali.Huko ndiko wanapoumizwa wananchi. Uraisi wamwachie Lowasa.
Zito na EL wanatosha kabisa ACT, si ndio rais aliyekuwa anasubiriwa? UKAWA ya nini tena jameni? Au EL haamini kama kura za ACT pekee zitatosha? ACT acheni kupotosha wenzenu, wajinga siku hizi kazi kuwapata! ohooo