cjui unaongelea wilaya ipi hai kuna kila kitu maji shule zahanati mbunge wetu aligawa komputa kila shule ya sekondari bado tunamwamini sana mbunge wetu tunamwini sana tunamwombea aendelee na harakati za kuikomboa tz sisi wa hai tushakombolwe
hayo matatizo ya ukosefu wa maji, ajira na matatizo mengine unayoyasema ni common ktk majimbo yote ya uchaguzi tz، siyo hai tu, kama ungekuwa na kumbukumbu hata kidogo (kitu ambacho hauna) maana umeanza kujistukia kuwa utatukanwa kwakujua kuwa uko less imformed kwenye matatizo yanayoikabili nchi hii, utatuzi wa matitizo ya nchi hii hayawezi kutatuliwa na mbunge, na ukumbuke 2005-2010 mbowe hakuwa mbunge wa hai je huyo aliyekwepo kwann hakutatua hayo matatizo ya maji na ajira?
Tukiacha ushabiki nchi hii inarudishwa nyuma na watendaji wa serikali kuanzia taifa mpaka halmashauri.
Katika maendeleo sinaga upambe mtu akiboronga kama kawaida...tunampasulia wazi wazi sipendagi undumilakuwili...
Kutukana wala hakuna msaada mwenzako katoa data wewe umekuja kutukana ungetoa data za iramba kama mwenzako alivyotoa mapungufu ya hai kwa data.
Mkuu kunawatu hawatakinkuambiwa ukweli hata kama wanamapungufu kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa jamii.Katika maendeleo sinaga upambe mtu akiboronga kama kawaida...tunampasulia wazi wazi sipendagi undumilakuwili...
mbowe ametembea nchi nzima na chopa akiwahamasisha watanzania kuhakikisha swala la maji limeingia kwenye katiba mpya.unataka nini tena???watanzania wengine jamani?????
Kuna sauti za wabunge wa CCM zinasikika zikisema "KAMA ASKARI WAMESHINDWA WAWAACHIE WABUNGE WENYEWE". Hali ni tete kiukweli wabunge wanasukumana na askari
Peopleeeeeeee!!!!!!
Sina shaka wengi mtaniona hamnazo lakini mimi nina dukuduku la moyoni na sina pa kusemea ni hapahapa jamvini potelea mbali mkinitukana ninaandika.
Kwa mbunge wetu wa wilaya ya hai kwa kweli navunjika moyo sana kwa sababu ni wilaya iliyonyuma sana kimaendeleo mkoani kilimanjaro kwa sababu zifuatazo:-
1. Kwa kipindi hiki hakuna maji. Hakuna hata juhudi za mbunge kuhamasisha uchimbaji visima maji safi yapo ardhini.
2. Sehemu kadhaa hazina umeme na hakuna sababu, pesa tunazo huduma hakuna na kuna utashi wa kisiasa katika hili. Pale kwa wasomali wana umeme mpaka kwenye nyumba za mabati matupu!
3.Hakuna hata kiwanda kimoja kwa ajili ya kutoa ajira kwa vijana/ Labda bajaj na bodaboda ambao kwangu hiyo ni kama upepo na majanga kwa vijana.
4. Mbunge wetu akija jimboni ni kwa taabu sana na akija lazima FFU tuwategemee hata kwa hotuba ambazo hazina joto la uchaguzi ni kusema CCM na CUF wakati maendeleo hatuyaoni. Sidhani kama siasa za namna hii tunazihitaji.
5. Tabia ya kutuma wabunge waje kukusafisha eti unamajukumu mengi ya kitaifa hoja hiyo ni tasa, mngetupa mtu wa kurutumikia.
6. Sina hakika kama unaofisi jimboni kwako.
7. Tabia ya kuja Hai na kupanda miti wakati wa jua kali na kundi la Chembe kidevu hatukuelewi hata kidogo kwamba ni sisi wananchi wa hai ndio tuliokuchagua ama Chembe kidevu.
Vyovyote inavyodhaniwa ama kusema ukienda jimbo lingine utachaguliwa ni hoja dhaifu tena haina uwajibikaji. Tunataka mrudi majimboni mtuletee maendeleo sio maandamano ama vurugu maana kwa miaka hii tuliyowapa dhamana sijaona mafanikio.
Kama kuna mtu anania ya kuwa mbunge hai aje tumsikilize hatuangalii chama tunaangalia mtu kwa kuwa sie sio wanywa viroba. Ninasikitikia sana uamuzi wangu wa kumpigia kura mtu huyu.
Je unambunge wa chadema amefanya nini jimboni kwako? unajua sera za chama chako?
Peopleeeee!
Naibu spika J. Ndugai ametoa amri Mbowe atolewe nje baada ya Mbowe kuomba muongozo ila Job Ndugai akamuamuru akae chini na asiongee chochote ndipo Mbowe akakataa kukaa mpaka asikilizwe anachotaka kusema.
Wabunge wa upinzani wamegoma Mbowe kutolewa nje na kinachoendelea ni kupigana kati ya askari na wabunge wa CHADEMA.
Mkuu kunawatu hawatakinkuambiwa ukweli hata kama wanamapungufu kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa jamii.
Mkuu naona kichwa chako kimechoka na hujasoma vizuri,Mimi naishi hai lete uongo wako hapa..
Inategemeana na kijiji chenyewe hai si pale mjini tu walitakiwa wawe na umeme vijiji vyote, sasa huyu form wao anavimba tu bungeni bila sababu.Afadhali nyinyi huko hai umeme mnaupata, tuulizeni sisi tuliopo huku mbinga, umeme ni msamiati vijijini, barabara za lami ni msamiati, sasa hivi bei ya kahawa ipo chini sana na wakulima wanahangaika sana! Na majimbo yetu yanaongozwa na chama tawala tangu uhuru!
Chadema ni chama kinachoendeshwa kwa misngi ya kilaghai.
Wajinga ndio waliwao. Akili kichwani.
Nadhani ni ishara ya wazi ya tatizo la uongozi wa Naibu Spika Huyo kwa kushindwa kusimamia na kujibu hoja chokochoko za Upinzani ambazo zipo katika mabunge yote Duniani yenye vyama vingi!
Sidhani kama Mh huyu anajua kuwa ni kipimo kibaya kinachomshusha hadhi yake?[ Mkuu umenena, inabidi waende shule wakasome Leadership]