africana mtwys
Senior Member
- May 8, 2013
- 173
- 23
sibure ndio maana unajiita tambala ukukoseaKwa wale wenye kusahau huyu Mbowe ndie Mwenye-KITI wa chama cha siasa kinachojihita "CHADEMA" sasa ndio utapata picha hiki chama kinaongoza na mtu wa kaliba gani? na anaowaongoza ni watu wa aina gani? Chadema ni bure kabisa tena cha hovyo.
Fafanua vizuri Naibu Spika Ndungi ndiyo kasema mbunge avuliwe hijabu?Leo kulikuwa na tafrani bungeni baada ya naibu spika wa bunge kuita askari kuingia ndani ya ukumbi wa bunge kumtoa kiongozi wa upinzani kwa nguvu jambo lilozua fujo na kusababisha mbunge wa cuf moza abeid kuvuliwa hijab yake kinyume kabisa na miongozo ya dini ya kiislam. Je huu ni uungwana?
Kwenu wapi mkuu, mbona TBC1 iliendelea kuwa hewani?
Msalimie mkirua mwenzako MbatiaLiberals at work!
Fafanua vizuri Naibu Spika Ndungi ndiyo kasema mbunge avuliwe hijabu?
Hili ndio tatizo kuwa na viongozi wajinga,mkuu wa kambi ya upinzani kaudhalilisha upinzani bungeni,badala ya kujenga hoja ikaeleweka na kuwashawishi wabunge yeye ameona njia pekee ni utovu wa nidhamu na dharau kwa mh.spika.
Mbaya zaidi wabunge wanafanya haya baada ya kuwa wameshachukuwa posho,kwanini wasisusie vikao na kususia posho ili tuwaone kuwa ni wazalendo kamili wa nchi?
Dr.slaa enzi zake alipata umaarufu Tanzania kwa kujenga hoja tuu,hakufanya siasa za matukio za kuletafujo bungeni ili aandikwe kwenye magazeti,kweli ya MISRI yananukia Tanzania maana hata kama chadema itashinda naamini itashindwa kutawala maana wananchi wanaaminishwa makubwa ambayo ni ngumu kuyapata kwa aina ya viongozi wa chadema ,hivyo wananchi wataandamana na kuitoa serikali kwa nguvu na kwa jinsi walivyo madictator hawatakubali na hivyo wataua sana waandamanaji na mwisho taifa litaongozwa kijeshi kama ilivyo misri ya leo.
kweli chadema ni janga la taifa tushirikiane kulitokomeza.
Fafanua vizuri Naibu Spika Ndungi ndiyo kasema mbunge avuliwe hijabu?
Picha ndiyo kwanza linaanza, hapo ndipo patamu sasa.
Miongozo ya dini haina nafasi bungeni mkuu. Mle wenyewe walijitungia kanuni, ingawa ndugai hawezi kuzitafsiri.Leo kulikuwa na tafrani bungeni baada ya naibu spika wa bunge kuita askari kuingia ndani ya ukumbi wa bunge kumtoa kiongozi wa upinzani kwa nguvu jambo lilozua fujo na kusababisha mbunge wa cuf moza abeid kuvuliwa hijab yake kinyume kabisa na miongozo ya dini ya kiislam. Je huu ni uungwana?
Ndungi, hana uwezo huo.Ndio!...