Mbowe atoa tamko: CHADEMA kuisimamisha nchi Machi 25, 2013

mbowe alitangaza iringa kuwa chdm kimeacha siasa ya uanaharakati na kuhamia kwenye siasa ya kisayansi ya kuimarisha chama. alisema kuwa kwa baadhi ya watu uanaharakati wanautafsiri kama vurugu.

nashangaa musoma anatangaza vurugu tena! chdm bwana! we acha tu!!!!!!!!!
 
mimi nataka kuona kama kuna mchaga atafunga duka moshi.

majebere, Mchaga kufunga duka! "Mungu nyife,hutakaa uone hiyo kitu mangi" wako kibiashara zaidi,si unaona hata hela za ruzuku wanavyokopeshana watu wa ukanda huo huo tu! chezea pesa wewe!
 
Last edited by a moderator:
Du,kwani kuandamana ndo suluhu,kimsingi hiyo haitasaidia,kitakachokuja ni raia kuswekwa rumande,je atakaye wapa dhamana ni nani ?Poleni mtakaoandamana mie naaona rundu la dola liko nyuma yao.

Haki yeyote duniani inatafutwa kwa nguvu ya umma na njia pekee ni MAANDAMANO pekee

Tuko tayari kwa maandamano hayo hata tuwekwe rumande sawa watakaobaki salama ambao hawataangukiwa vitu vyenye ncha kali vichwani mwao wataliendeleza Taifa
V
I
V
A
CHADEMA!! Viva MBOWE!!
 
Chadema mmefanya mpaka maandamano yamekosa hadhi yake.

Watanzania wamechoka na Matamko yenu ambayo hayana tija yeyote kwa taifa.

Hiki kipindi cha mvua mngetoa matamko kwa wafuasi wenu wajikite na kilimo kwanza na uzalishaji kuinua kipato chao na uchumi wa taifa.

Sasa nyie kila kitu maandamamo.

hapo red......if wishes were horses....
 
Muda mfupi uliopita hapa katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, ametoa tamko la Musoma, likiwataka Watanzania wote wapenda nchi yao, kujiandaa kwa maandamano makubwa na mgomo wa wananchi yatakayofanyika Machi 25, 2013, nchi nzima, kushinikiza uwajibikaji (kujiuzulu au kufukuzwa kazi) kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa na Naibu wake, Phillip Mulugo, kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha nne.

"Yatakuwa maandamano makubwa ya kuisimamisha nchi...tunataka siku hiyo mama ntilie wawe barabarani, watoto waliofeli na wazazi wao wawe barabarani, bodaboda wawe barabarani, wamachinga wawe barabarani, walimu wawe barabarani, wanafunzi walioko shuleni na vyuoni wawe barabarani, askari watuunge mkono.

"Wazalendo wote watuunge mkono, Machi 25, 2013, Watanzania wawaoneshe watawala kuwa sauti ya wananchi ni kubwa na muhimu kuliko waziri mmoja na naibu wake...tunataka kitu kidogo tu, waziri na naibu wake wajiuzulu, tunataka wawajibike kwa matokeo mabaya ambayo yametuingiza kwenye kitabu cha maajabu ya dunia..., wanaume na wanawake siku hiyo hakuna mtu kubaki ndani.

"Tutaisimamisha nchi katika majiji manne, Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza na Arusha...nanyi wa Musoma mnataka kulianzisha hapa? Haya Mbunge Nyerere wananchi wako nao wamesema watalianzisha hapa hapa, hawataki kuja Mwanza, kwa hiyo wa Butiama watashuka Musoma, wa Tarime watashuka hapa, wa Serengeti, Bunda na Mwibara, watashuka hapa, yataanzia wapi na kuelekea wapi, mtaambiwa hatua za baadae. Wananchi mjiandae Machi 25, maandamano na mgomo mkubwa," alisema Mbowe.

More updates to come...

Nionavyo mimi haya maandamano ni litmus paper kwa CHADEMA, kama yakifanikiwa, ikiwa ni pamoja na muitikio wa Wananchi basi CHADEMA watakuwa na matumaini 2015, lkn kama muitikio ukiwa hafifu, basi inabidi wasimamishe kila kitu na kuanza kuisoma jamii ya yetu Kitanzania upya, na kuanza moja, ngoja tusubire!
 
mbowe alitangaza iringa kuwa chdm kimeacha siasa ya uanaharakati na kuhamia kwenye siasa ya kisayansi ya kuimarisha chama. alisema kuwa kwa baadhi ya watu uanaharakati wanautafsiri kama vurugu.

nashangaa musoma anatangaza vurugu tena! chdm bwana! we acha tu!!!!!!!!!

Kauli za wanasiasa zinabadilika kulingana na upepo au kwa neno jingine, unaweza kuita, Siasa za matukio. Ndiyo hiki kilichotokea leo na usingae kesho ikibadilika tena.
 
huyu huenda ni miongoni mwa waliofeli au alifeli zamani hana upeo hata hapa ashukuru tu mchina na hivi visimu venye internet computer hajui inawashwaje!

usijione unajua sana wewe mbulala hzo kashfa zako.hatujazpnde
 
Usipate shida nao hao cdm, kama mwenyekiti ni disco joker mawazo na upeo wake ndo umeishia hapo! anatamani kuwa hata waziri! lbda awe wa mitindo ya nywele!

heri disco joker kuliko wezi wa mali ya uma. ukishaona viongozi wanawaibia mafukara na kwenda kuzificha kwa matajiri ulaya basi ujue hapo huna nchi tena. ndo maana sishangai hata kidogo ccm wanaua elimu ya nchi makusudi kabisa. wanafanya hivyo ili waweze kuendelea kuwapora mafukara kwa urahisi.
 
Safiii DJ atapamba maandamano na mziki mnene mwwnyewe atashika spin atapiga nyimbo zote kuanzia bolingo old iz gold na bongo fleva
 
Kwanini watz hatuna utamaduni wa kuwajibika mpaka tulazimishwe?Lazima tuanze kuujenga utamaduni wa kuwajibk kuanzia sasa
 
Unataka picha hizi za shule zilizojengwa na serikali legelege?
View attachment 86522
View attachment 86524

AAAAABJRU5ErkJggg==


wJMcbe8zh9h8wAAAABJRU5ErkJggg==


keleuuuuuuuuuuuuuuwi!!! mtumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! haya ni masokwe au watoto wa binadamu jamani!!!!! hivi mtoto wa Ritz naye anaweza somea hilo darasa??!
 
Watoto kama hawa walivyochoka wamepauka wanatia huruma hata waziri akijiuzulu watatoka hapa kwenye vumbi.

It will be the first step towards uwajibikaji kwa yeyote anayeitaka ofisi ya umma au aliyekula kiapo cha kuilinda katiba ya Muungano.
Kuilinda katiba ya muungano maana yake ni kupambana kutoa huduma za jamii zilizo kwenye kiwango.

Otherwise tutaendelea kuwa majuha tu na kuishia kufanya upuuzi na vichekesho kama hivi.
View attachment 86526
 
Back
Top Bottom