Mbowe atoa tamko: CHADEMA kuisimamisha nchi Machi 25, 2013

Usipate shida nao hao
cdm, kama mwenyekiti ni disco joker mawazo na upeo wake ndo umeishia
hapo! anatamani kuwa hata waziri! lbda awe wa mitindo ya nywele!

chama kikiongozwa na failures bwana shida tupu. hebu chadema mpeni chama yule kijana wa kigoma pengine zile ndoto za kwenda ikulu mnaweza kuziota. maana huyu form four failure anakipeleka mrama kweli. hizi si falsafa za akina bob makani
 
Nadhani polisi watuachie uhuru wa kufanya haya maandamano. Maana sitashangaa hawa jamaa wakija na hoja ya kuwa intelejensia imesema kuwa kuna machafuko yatatokea. Na hii intelejensia uwa inafanya kazi kwa kwa CHADEMA tu.
 
ama kwa hakika mbowe amefilisika. ukiona mtu anakimbilia kugoma na kuandamana basi uwezo wake wa kujenga hoja umefika ukingoni. sasa iweje mama lishe waandamane? je wanaowalisha akina mama lishe watakula wapi? basi na sisi tuandamane kumpinga mbowe kutukosesha haki yetu ya kuishi kwa kutunyima kula

Hlo id yako "Atogwele" kwetu ina maana makalio sasa sijui na wewe ulifikiria nini kutumia hyo ID.
 
Usipate shida nao hao cdm, kama mwenyekiti ni disco joker mawazo na upeo wake ndo umeishia hapo! anatamani kuwa hata waziri! lbda awe wa mitindo ya nywele!

Na huyu anafanyaje? ImageUploadedByJamiiForums1363021049.356538.jpg
Anatofauti gani na hawa? ImageUploadedByJamiiForums1363021081.649267.jpg
 
Ritz

Pamoja na kwamba uko kinyume na mwendo kasi siku zote, lakini kwa mchango wako huu, si wa hadhi yako. This is extremely too low for u kaka.

Tumaini Makene,

Pamoja kuwa na mtazamo tofauti na mie lakini tuangalie tatizo la elimu yetu kuwa upana na marefu.

Matatizo hayatokani na waziri kabla huyu waziri unakumbuka kulikuwa na vijana wamemaliza kidato cha nne hawajui kusoma na kasababisha.

Mfumo mzima wa elimu unaitaji mabadiliko.
 
Hawa CHADEMA sasa wanaelekea kufa, hawana jipya. Kama hawana sera watangaze rasmi kwamba CHADEMA ni chama cha kutoa mikopo yenye riba nafuu ili tujue moja.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
This is according to your
peanut mind,. but we have many examples where demonstrations,.strikes
and Armed struggles did bring changes and the demands were met,. South
Africa, Egypt, Libya, Tunisia,.all evil regimes and leaders were ousted
through the same modality! I dont want to believe that you are
politically blind or such a narrow minded creature!

Wale ni waarabu na hawa ni wachaga wenye uchu wa fedha na madaraka! haitakaa iwe kama Syria au Misri, acha tamaa ya fisi kungojea mkono ukatike!
 
mwenye zile picha za shule za kata embu na atuwekee hapa .
nimefurahi kumbe mbowe aliona ule uzi wangu sasa naongeza mabango zaidi
 
Mbowe aache usanii, juzi kati hapa wametoa namba za spika na naibu wake watu wawatukane saivi watu wameanza kukamatwa, mbowe amewapa msaada gani???? Acheni kuwalaghai wananchi kwa usanii wenu huo
 
Tumaini Makene,

Pamoja kuwa na mtazamo tofauti na mie lakini tuangalie tatizo la elimu yetu kuwa upana na marefu.

Matatizo hayatokani na waziri kabla huyu waziri unakumbuka kulikuwa na vijana wamemaliza kidato cha nne hawajui kusoma na kasababisha.

Mfumo mzima wa elimu unaitaji mabadiliko.
Mkuu huyu wala usihangaike nae,hawezi kukubali ukweli hata iweje,yeye anataka CCM ianguke ili na yeye apate ka cheo, ndio wapigania matumbo hawa.
 
hakikisha una body guard kuanzia leo lasivyo tutasikia kamanda Ngofa akitangaza "amepigwa na kung'olewa menu bila gansi"
 
Na mwisho wanaishia kuharibu na kuchoma mali za wasio na hatia! gongo noma!

hivi ni nani mwenye makosa? waziri au huyu anayehamasisha maandamano ili watoto wasiende shule na mwakani zero ziongezeke? shame upon you mbowe na wengine wenye mawazo negative
 
hivi ni nani mwenye makosa? Waziri au huyu anayehamasisha maandamano ili watoto wasiende shule na mwakani zero ziongezeke? Shame upon you mbowe na wengine wenye mawazo negative

anayehamasisha maandamano mwenyewe hajasoma, alikimbia umande, atawezaje kutetea kitu ambacho yeye kilimshinda.hatudanganyiki
 
Back
Top Bottom