Mbowe atoa tamko: CHADEMA kuisimamisha nchi Machi 25, 2013

Chadema mmefanya mpaka maandamano yamekosa hadhi yake.

Watanzania wamechoka na Matamko yenu ambayo hayana tija yeyote kwa taifa.

Hiki kipindi cha mvua mngetoa matamko kwa wafuasi wenu wajikite na kilimo kwanza na uzalishaji kuinua kipato chao na uchumi wa taifa.

Sasa nyie kila kitu maandamamo.
 
Siasa za matukio, hawa kwisha kazi yao.hamna sera tena, la ufisadi limevunda sasa wamebaki kusubiri matukio ndio wawike.Lissu amebuma Dar,Mnyika amebuma UK,Slaa kaingia mitini,lema amebaki kufoka foka kama muimba rap. M4C wamekosa usafiri baada ya mikweche yao kukwama kenya. Naona mtoa roho anazunguka anga za CDM

Kikwetu Majebere niwale wadudu wanaoweka makazi kwenye kinyesi kikikaribia kuoza,nimehuzunika kukuona lakini baadaya kuona coment zako nimeona nikawaida na inawezekana hata akirizako ndivyo zilivyo ndio mana magamba wanawapata kirahisi watu kama wewe!
 
Mkuu wangu,

Hivi mmefanya utafiti kwanza na kutambua kuwa tatizo la watoto kufeli linasabishwa na Waziri.

Ritz

Pamoja na kwamba uko kinyume na mwendo kasi siku zote, lakini kwa mchango wako huu, si wa hadhi yako. This is extremely too low for u kaka.
 
Chadema wakati mwingine jaribuni kuchambua mambo kisomi kuliko kufuata siasa za matukio.

Hivi tatizo la vijana kufeli limesababishwa n Waziri wa Elimu mkifanya maandamano hao watoto ndiyo watafahulu.

Jaribu kutafuta tatizo siyo kila kitu maandamano.

Mna uhakika gani kama akija waziri mwingine watoto hawatafeli.

Usipate shida nao hao cdm, kama mwenyekiti ni disco joker mawazo na upeo wake ndo umeishia hapo! anatamani kuwa hata waziri! lbda awe wa mitindo ya nywele!
 
Chadema mmefanya mpaka
maandamano yamekosa hadhi yake.

Watanzania wamechoka na Matamko yenu ambayo hayana tija yeyote kwa
taifa.

Hiki kipindi cha mvua mngetoa matamko kwa wafuasi wenu wajikite na
kilimo kwanza na uzalishaji kuinua kipato chao na uchumi wa taifa.

Sasa nyie kila kitu maandamamo.

hivi yale maandamano ya mnyika yameishia wapi
 
Yani wewe huoni tatizo?
Future country unategemea kukaa na kuiongea na Ccm au?
Hawa wamesha shiba ndio maana walicho hamua sasa hivi ni kufanya kazi ya kuunda kamati hadi itakapo fika 2015

Guys tel us what is the problem ndio tuandamane why cant you organise it three years ago mlipoanza kusiskia watoto wasiojua kusoma wanaenda kidato cha kwanza. Let us talk about our future country then haya mambo mengine yaje kama maadahimisho ya mafanikio.
 
Nawahurumia watu watakaopoteza kazi zao kwa sababu siku hiyo itakuwa ni siku ya kazi.

Kama kweli Mh. Mbowe anataka mawaziri wawajike kwa uzembe, haoni kama kuna uwekezekano wa watu wengine kuwajibishwa kwa uzembe wa kutofika makazini na watoto kutokuenda mashuleni.

kama kweli kazi ni msingi wa maisha, Inaonekana kama haya maandamano hayawahusu wafanyakazi na wanafunzi.

Kwa mtazamo wangu, Mh. Mbowe anatingisha kiberiti kuona kama serikali ina jinti. Huku ni kucheza kamali ya kisiasa.

Kibaya zaidi, ni watu wachache sana wanaofahamu sera za CHADEMA kuhusu elimu kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu.

Hizi ndiyo siasa zetu.
 
Chadema mmefanya mpaka
maandamano yamekosa hadhi yake.

Watanzania wamechoka na Matamko yenu ambayo hayana tija yeyote kwa
taifa.

Hiki kipindi cha mvua mngetoa matamko kwa wafuasi wenu wajikite na
kilimo kwanza na uzalishaji kuinua kipato chao na uchumi wa taifa.

Sasa nyie kila kitu maandamamo.

mwisho wataandamana kwa kupewa haki ya kushi huku wengine wakifa wangali tumboni
 
Mkuu wangu,

Hivi mmefanya utafiti kwanza na kutambua kuwa tatizo la watoto kufeli linasabishwa na Waziri.

Ritz,

Waziri ni mtendaji na mwenye maamuzi kisiasa na kiutendaji ktk wizara yake. Baadhi ya sababu za msingi za kushindwa kwa wingi wa wanafunzi hao alizitaja mwenyewe: kutokuwa na mahabara/vifaa vya kufundishia, walimu na nyingine-ambazo kwa njia moja ama nyingine serikali anayoitumikia inawajibika. Hivyo naye awajibike.


Onyo: tukihusisha kushindwa kwa wanafunzi na sababu za kisiasa hatutaweza kusonga mbele. Natoa onyo ilo kwa sababu ni raisi kutafuta sababu za visingizio kwa wanachama wa chama hiki au kile wakaamini-hivi ndivyo inavyoweza kuwa hata kwa tume teule. Lakini hapa cha msingi ni uwajibikaji ama kwa waziri au serikali yake kama ambavyo inaweza kuwa kwangu na kwako ktk mambo muhimu ya maisha yetu.
 
Nawahurumia watu watakaopoteza kazi zao kwa sababu siku hiyo itakuwa ni siku ya kazi.

Kama kweli Mh. Mbowe anataka mawaziri wawajike kwa uzembe, haoni kama kuna uwekezekano wa watu wengine kuwajibishwa kwa uzembe wa kutofika makazini na watoto kutokuenda mashuleni.

kama kweli kazi ni msingi wa maisha, Inaonekana kama haya maandamano hayawahusu wafanyakazi na wanafunzi.

Kwa mtazamo wangu, Mh. Mbowe anatingisha kiberiti kuona kana serikali ina jinti. Huku ni kucheza kamali ya kisiasa.

Kibaya zaidi, ni watu wachache sana wanaofahamu sera za CHADEMA kuhusu elimu kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu.

Hizi ndiyo siasa zetu.
Yeye biashara yake ni ya usiku, na jumatatu sio siku ya biashara kwake.
 
Mikutano na maandamano yao
hata hivyo huudhuriwa na watu wasiokuwa na kazi za kufanya, huku wakiwa
wameshanyweshwa pakti za Konyagi.

Na mwisho wanaishia kuharibu na kuchoma mali za wasio na hatia! gongo noma!
 
kesha jadilianan na Raisi Kikwete rafiki yake aliyemjengea barabara
?

Kikwete ajenge barabara?? Barabara zinajengwa na kodi zetu na Rasilimali zetu,. Serikali ya kikwete imepewa jukumu(ambalo hata hivo hawalisimamii vizuri kutoka na sera yao ya ufisadi) kukusanya kodi na kusimamia shuguli kama za ujenzi kama barabara,.Akitaka kutujengea barabara akauze mananasi anayolima kule msoga ndio alete pesa yake mfukoni hapa anaweza kusema katujengea barabara,.
 
Back
Top Bottom