Mkuu "kilaga" samahan kwa hili swali wewe wa kike au kiume..? Ukinijib nitakuambia kituKisebusebu na kiroho papo. Duniani mambo hayawezi kwenda kwa matakwa yako, na wala kisiasa wewe ni out of spot. Chadema itaendelea, na wewe utaendelea kulialia humu jf, na huo ndiyo mfumo wa maisha. Kulialia au kutolialia kwako hakuna impact yoyote maana kwa Chadema wewe pumba tu.
Kumbe nanyi mnataka "kutok hola" kama hao wa kilimo kwanza?Kazi na iendelee...wasiokupenda wakilalamika jua umepatia so kandamizia hapohapo!! Wape katafunua za kutosha mbona wao walihangaika namara ma BRN,KILIMO UTI WA MGONGO,KILIMO CHAKUFA NA KUPONA,KILIMO KWANZA...nk lakini hola?
Hiyo njoo nayo weweoperation kata funua haitaponya njaa zetu...kwann wasije na operation wezesha wananchi angalau watupunguzie machungu ya kisoma namba!,watu tukakufa tukisoma namba yy anazid kuleta siasa badala ya msaada!
Operesheni KATA FUNUA, hii inatisha aisee, hii ndiyo mwisho wa ccm
Wanashida kweli yamWe have been here before!
Are we still heading where Albert Einstein once said, insanity is doing the same thing over and over again, but expecting different results.
Mwaka 2008 CHADEMA iliibuka na operesheni samaki mkubwa (maarufu kama Oparesheni Sangara).
Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, kuliibuka matembezi ya maandamano.
Mwaka 2012 ikaanzishwa operation ya mabadiliko yaani Movement for Change (M4C).
Mwaka 2016, wameibuka na operesheni Ukuta (Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania) ambao wengine waliita Ukuta wa mabua na kabla ya jua kuzama, tunaambiwa kuna operesheni Kata Funua.
Haya ndio moja ya mapendekezo ya kikao cha Kamati Kuu kilichokaa juzi! Serious?
Buckle up dude and get ready for the ride of a misfiring lifetime!
Watu mmesikia kata funua mshaanza kulia lia,Chadema watawavuruga akili dadekiMkuu "kilaga" samahan kwa hili swali wewe wa kike au kiume..? Ukinijib nitakuambia kitu
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
Ccm is Devil's reject.Mbowe is a joke.
A big 'ol joke that ain't even funny.
The man who sold CHADEMA's soul for a mess of pottage keeps on coming up with these worthless so called operations....I mean....is that all they got?
He needs to go ASAP.
We have been here before!
Are we still heading where Albert Einstein once said, insanity is doing the same thing over and over again, but expecting different results.
Mwaka 2008 CHADEMA iliibuka na operesheni samaki mkubwa (maarufu kama Oparesheni Sangara).
Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, kuliibuka matembezi ya maandamano.
Mwaka 2012 ikaanzishwa operation ya mabadiliko yaani Movement for Change (M4C).
Mwaka 2016, wameibuka na operesheni Ukuta (Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania) ambao wengine waliita Ukuta wa mabua na kabla ya jua kuzama, tunaambiwa kuna operesheni Kata Funua.
Haya ndio moja ya mapendekezo ya kikao cha Kamati Kuu kilichokaa juzi! Serious?
Buckle up dude and get ready for the ride of a misfiring lifetime!
Tutakuweka mstari wa mbeleHahahaaaaaa dah kata funua,nimeipenda hii.
Mbowe is a joke.
A big 'ol joke that ain't even funny.
The man who sold CHADEMA's soul for a mess of pottage keeps on coming up with these worthless so called operations....I mean....is that all they got?
He needs to go ASAP.
operation kata funua haitaponya njaa zetu...kwann wasije na operation wezesha wananchi angalau watupunguzie machungu ya kisoma namba!,watu tukakufa tukisoma namba yy anazid kuleta siasa badala ya msaada!

Upate maendeleo kwani wao wanakusanya kodi?serikali haipo ikuletee maendeleo?Hawa watu wanawaza kuchujua dola na sio kumsaidia mwananchi apate maendeleo