Mbowe atangaza operesheni ''Kata Funua''

Mbowe atangaza operesheni ''Kata Funua''

operation kata funua haitaponya njaa zetu...kwann wasije na operation wezesha wananchi angalau watupunguzie machungu ya kisoma namba!,watu tukakufa tukisoma namba yy anazid kuleta siasa badala ya msaada!
Huu ujumbe ungewaambia ccm ndo wanakusanya na kuchukua kodi zetu..
 
ukiona watoto wanalitania zee zima kila likipita na lenyewe linawafukuza jua halo kuna taahira na wenye akili.
kifupi sijaribbiwi.
 
operation kata funua haitaponya njaa zetu...kwann wasije na operation wezesha wananchi angalau watupunguzie machungu ya kisoma namba!,watu tukakufa tukisoma namba yy anazid kuleta siasa badala ya msaada!
Chadema haiku Sanyo kodi hizo shida nyingine kamueleze babako
 
Hizi operesheni zinanguvu sana naunga mkono ziendelee ili kuiweka nchi salama.
 
Yaani suala la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi havipewi kipaumbele.......watapataje ushindi??
 
Mbowe is a joke.

A big 'ol joke that ain't even funny.

The man who sold CHADEMA's soul for a mess of pottage keeps on coming up with these worthless so called operations....I mean....is that all they got?

He needs to go ASAP.
Kisebusebu na kiroho papo. Duniani mambo hayawezi kwenda kwa matakwa yako, na wala kisiasa wewe ni out of spot. Chadema itaendelea, na wewe utaendelea kulialia humu jf, na huo ndiyo mfumo wa maisha. Kulialia au kutolialia kwako hakuna impact yoyote maana kwa Chadema wewe pumba tu.
 
We have been here before!

Are we still heading where Albert Einstein once said, insanity is doing the same thing over and over again, but expecting different results.

Mwaka 2008 CHADEMA iliibuka na operesheni samaki mkubwa (maarufu kama Oparesheni Sangara).

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, kuliibuka matembezi ya maandamano.

Mwaka 2012 ikaanzishwa operation ya mabadiliko yaani Movement for Change (M4C).

Mwaka 2016, wameibuka na operesheni Ukuta (Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania) ambao wengine waliita Ukuta wa mabua na kabla ya jua kuzama, tunaambiwa kuna operesheni Kata Funua.

Haya ndio moja ya mapendekezo ya kikao cha Kamati Kuu kilichokaa juzi! Serious?

Buckle up dude and get ready for the ride of a misfiring lifetime!
Looks like dissimilar to operation tumbua majipu! Doesn't it?
 
Mahaba ya kijani yatawaua, unataka kuniambia popularity iliyonayo CDM haichangiwa na hizi operations? CDM ilianza na wabunge wangapi na sasa inawangapi? kura za urais je? ukweli utakuweka huru, ila hiyo miwani uliyovaa haitakusaidia. ( WANA

MACHO LAKINI HAWAONI)
Utumwa wa fikra na kasumba ya kulishwa propaganda humfanya mtu kuwa pumba. Ndiyo maana Karne ya leo tunaishia kulialia tu. Huyo jamaa haelewi kuwa hayo mambo yote aliyoorodhesha ndiyo yamefanya Chadema kuwa ilivyo leo, làkini ataelewaje wakati akili ameshikiwa?
 
"Kiongozi yeyote atakayeonyesha nia ya kutukwamisha hatutamvumilia, tutamuondoa ili tuweze kuendelea na safari yetu na kumaliza kutembea kanda zote"

1. Hapa anaongelea kiongozi yupi?, wa chadema ama wa dola?

2. Kama wa chadema, ina maana kuna migomo miongoni mwao?

3. Kama wa chadema, mbona mwenyewe kaishakwamisha tayari?

4. Kama wa dola, Mbowe na group lake hawana ubavu wa kumuondoa yeyote.
unawaza kipuuzi sana
 
Pongezi sana kwa Freeman Mbowe naamini operesheni italeta mafanikio makubwa sana kwa chama kujiandaa kuingia madarakani 2020.
Kiongozi yeyote atakayeonyesha nia ya kutukwamisha hatutamvumilia, tutamuondoa ili tuweze kuendelea na safari yetu na kumaliza kutembelea kanda zote,” amesema Mbowe
 
Baada ya kuanzisha na hatimaye kukwama kuitekeleza operesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), Chadema imekuja na nyingine itakayokwenda kwa jina la ‘Kata Funua’.

Operesheni hiyo mpya imetangazwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ikilenga kukipa chama hicho mafanikio katika uchaguzi wa Serikali za mitaa na ule mkuu ujao.

Mbowe amesema hayo katika kikao cha uchaguzi wa mwenyekiti wa kanda wilayani Masasi mkoani Mtwara.

“Kiongozi yeyote atakayeonyesha nia ya kutukwamisha hatutamvumilia, tutamuondoa ili tuweze kuendelea na safari yetu na kumaliza kutembelea kanda zote,” amesema.

Amesema ziara hizo ndizo zitakazoipa nafasi chama hicho kuchukua maeneo mengi zaidi hasa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema umoja na mshikamano ndiyo msingi imara utakaowasaidia kuweza kufikia malengo.

“Ili kufanikiwa lazima kuwe na umoja imara baina ya viongozi wa chama. Mtu yeyote atakayekuwa na nia mbaya na umoja huu achukuliwe hatua mara moja ili kuepuka kutokea kwa migogoro,” amesema.

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Zanzibar, Salum Mwalimu amemshukuru Rais John Magufuli kwa kukipa fursa adhimu chama hicho kutokana na kuzuia mikutano ya kisiasa majukwaani jambo ambalo limewasaidia kujipanga vizuri katika uchaguzi ujao.

“Safari hii ni fursa kwetu, tumejipanga kiuhakika na si kwa kubahatisha tunapoelekea katika uchaguzi wa serikali za vijiji, vitongoji, mitaa mwaka 2019 na baadaye uchaguzi wa wabunge na Rais ifikapo 2020,” amesema.
Chanzo:Mwananchi.
Asituletee usanii usanii
Kwanza atueleze CHAMA chetu alikiuza bei gani?
Pili,atueleze ni utaratibu UPI ulitumika kumpata mgombea urais?
Tatu, atueleze ni kwa nini alikabidhi CHAMA chetu kwa makada wa ccm?
NNE, Lowasa ana wadhifa gani ndani ya CHAMA?
Tano, kwa nini majukumu ya mwenyekiti yanafanywa na Lowasa? Sita, mbona hukutoa marejesho ya operation UKUTA kabla hujatuletea operation nyingine?
 
Mmeshamalizana na Erick Shigongo?
Zile pesa za rambi rambi za wajane huko Kagera ambazo mmekula nimeshawapelekea wale wajane?
 
Hizi operations kama zimepangwa vyema na kusimamiwa vizuri zinasaidia sana. Msisahau nguvu ya Chadema 2015 ilichangiwa na hizi operations hasa operation sangara na M4C. Ndio maana wengine tunapinga wanaofikiri Lowasa ndio aliye leta uhai upinzani bali alikuta hizi operations zimekwisha andaa wananchi kuikataa CCM. Tatizo kwa mazingira yaliyopo sasa hasa baada ya wananchi wengi imani yao kwa Chadema kupungua sana....Chadema walipaswa kujenga taswira mpya ya uelekeo wao kisiasa.....hizi operations hazitofanikiwa sababu wananchi hawana mwamko tena na Chadema.
Utafiti ulofanya?
 
Mambo yakiwa mengi utekelezaji wake hafifu mno..haya ngoja tuone
 
We have been here before!

Are we still heading where Albert Einstein once said, insanity is doing the same thing over and over again, but expecting different results.

Mwaka 2008 CHADEMA iliibuka na operesheni samaki mkubwa (maarufu kama Oparesheni Sangara).

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, kuliibuka matembezi ya maandamano.

Mwaka 2012 ikaanzishwa operation ya mabadiliko yaani Movement for Change (M4C).

Mwaka 2016, wameibuka na operesheni Ukuta (Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania) ambao wengine waliita Ukuta wa mabua na kabla ya jua kuzama, tunaambiwa kuna operesheni Kata Funua.

Haya ndio moja ya mapendekezo ya kikao cha Kamati Kuu kilichokaa juzi! Serious?

Buckle up dude and get ready for the ride of a misfiring lifetime!
hizo operation zimewasaidia sana chadema,operation sangara iliwasaidia kueneza chama chao na kujipatia wafuasi wengi.operation zilizofuata zimepelekea chadema kuvuna viti vingi vya wenyeviti wa mitaa/vitongoji/vijiji pia wameongeza idadi kubwa ya madiwani na wabunge nchi nzima bila ksahau ongezeko la kura za mgombea urais wao mwaka 2015.
 
We have been here before!

Are we still heading where Albert Einstein once said, insanity is doing the same thing over and over again, but expecting different results.

Mwaka 2008 CHADEMA iliibuka na operesheni samaki mkubwa (maarufu kama Oparesheni Sangara).

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, kuliibuka matembezi ya maandamano.

Mwaka 2012 ikaanzishwa operation ya mabadiliko yaani Movement for Change (M4C).

Mwaka 2016, wameibuka na operesheni Ukuta (Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania) ambao wengine waliita Ukuta wa mabua na kabla ya jua kuzama, tunaambiwa kuna operesheni Kata Funua.

Haya ndio moja ya mapendekezo ya kikao cha Kamati Kuu kilichokaa juzi! Serious?

Buckle up dude and get ready for the ride of a misfiring lifetime!
nimegundua chadema inapendwa na habari zake zina mvuto hata wapinzani wake wanavutiwa nazo,

sikutegemea msemaji ukweli awe afsa habari wa chadema, amempiku tumaini makenne

haijawahi tokea mwanachadema akaandika habari za ccm isipokuwa tu za ufisadi
siku hizi hata mtukufu akiwa live kwenye tv watu wanazima tv au wanaendelea na shuguli zao maana wameishagundua ni wale wale
 
Back
Top Bottom