Mbowe atangaza maandamano nchi nzima

Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom waliohudhuria mkutano huo amesema maandamano yataanzia Shinyanga, mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine. Amesema nanukuu "hii mijamaa bila maandamano haisikii". Amesema tutafanya uasi kwasababu tunazo sababu za kufanya uasi.

Hii taarifa yako hapa mwisho mbona nna wasiwasi napo.
 
Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom waliohudhuria mkutano huo amesema maandamano yataanzia Shinyanga, mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine. Amesema nanukuu "hii mijamaa bila maandamano haisikii". Amesema tutafanya uasi kwasababu tunazo sababu za kufanya uasi.

Really,kasema hayo?
Then ana umwa kabisa,or ndio sura halisi ya wana siasa.
UNAFIKI.
 
Ina maana Mbowe hakuwepo Bungeni kama kiongozi wa kambi ya Upinzani na Tundu Lissu naye pia?
 
The winds of change are soon arriving Tanzania. Keep it up CDM for being the changing agents!!
 
Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom waliohudhuria mkutano huo amesema maandamano yataanzia Shinyanga, mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine. Amesema nanukuu "hii mijamaa bila maandamano haisikii". Amesema tutafanya uasi kwasababu tunazo sababu za kufanya uasi.
Dah, yani ulichelewa kutamka.
Peoples.......................power
 
What the hell is this. Kumpeleka mwanao shule ni jambo zuri sana. Hizi vurugu za maandamano kila siku zinatokana na watu kukosa shule ya kutosha. Mbowe, tunakuheshimu sana, usiwe chanzo cha kuleta machafuko hapa nchini.[/QUOTE]
If you can't convince them, confuse them.
 
mnachezea serikali siyo??? haya maandamano ruksa tena kwa kibali ,UASI mnamgongea bwana jela mlango awafungulie huyo mchagga asije kuwafanya kama alivyokuwa anafanya maalim seif anawatanguliza nyinyi yeye huyo nje ya nchi.
 
Naunga mkono uasi kwa asilimia mia. Ikiwa serikali kupitia dola yaani polisi wameamua kuwaweka wabunge kati na kuamuru wacharangwe mapanga, huo ndio msingi wa kuondoka rasmi kwenye utawala wa sheria. Hivyo kwa kuwa hakuna tena chombo cha kusimamia utekelezaji wa sheria ni budi kila mtu au kundi kufanya lile wanaloona linafaa kujilinda bila kutegemea tena muongozo wa serikali, maana imejidhihirisha kupoteza uhalali wa kutuongoza. Polisi sasa kageuka kuwa adui namba moja wa haki za uhai wetu na mali yetu. Mahakama nayo imekuwa chombo cha kutumiwa na watawala kudhulumu haki ya raia zake. Serikali imetufikisha katika kona ambayo haina pa kutokea ila kuasi.
.
 
mnachezea serikali siyo??? haya maandamano ruksa tena kwa kibali ,UASI mnamgongea bwana jela mlango awafungulie huyo mchagga asije kuwafanya kama alivyokuwa anafanya maalim seif anawatanguliza nyinyi yeye huyo nje ya nchi.

arifu wewe una akili sana

kaa mpemba
 
Maaaviii Wataandamana na kuku na bata tu!

Huu ni upumbavu wako wa kushndwa kufkr kwa akil na badala yake unatumia ******.Kaa kimya wewe gamba lisilo na mbele wala nyuma bal katkat ya nyuma.****** xana wewe.Imenbid ntumie ban am sor wana jf.
 
mnachezea serikali siyo??? haya maandamano ruksa tena kwa kibali ,UASI mnamgongea bwana jela mlango awafungulie huyo mchagga asije kuwafanya kama alivyokuwa anafanya maalim seif anawatanguliza nyinyi yeye huyo nje ya nchi.

Akil za maiti ndo hz,huu ni uoga wa kij..In.Ga nan serkal kama cyo wewe na mim na wengne,hufai kuwa binadamu huna tofaut na kinyes cha chooni.Na wewe kaa kmya huna lolote ni bora ufungwe jiwe shngoni utupiwe baharini.Nyani mkubwa wee.
 
Kwa doz hzo hawa wajinga znawatosha .They must thnk as greater thnkers na cyo kubana pua huku watz n maskni wa kutupwa!Nalala sasa kwa muda.
 
Nyie watu msijifanye hamjui kuwa MAANDAMANO ni silaha inayoogopwa sana na watawala dhalimu na Mabandidu wasiotimiza haki za msingi za raia!

Ukiongelea Peoples Power kwa sasa mbele ya kongozi wa ccm, utamsikia tumbo linavyochezacheza na kuunguruma, na hewa ya mazingirakubadilika, maana ni kama mdudu anayewang'ata mgongoni!...wanajua sana jinsi wanavyobaka mahitaji ya raia ndiyo maana wanahofia wananchi kujuzwa haki zao za msingi kupitia MAANDAMANO.

Kwanini mnaliogopa neno UASI?
Hamjui wananchi wa Arumeru wameamua kufanya uasi kwa kuukataa ukandamizwaji wa ccm na kujichagulia uongozi wanaojua utawafaa?...huo sio aina ya uasi?...NI UASI WA FIKRA!...
Wake up people....haendi mtu msituni, tutapigania humuhumu mjini..hakimbiwi mtu!
 
mnachezea serikali siyo??? haya maandamano ruksa tena kwa kibali ,UASI mnamgongea bwana jela mlango awafungulie huyo mchagga asije kuwafanya kama alivyokuwa anafanya maalim seif anawatanguliza nyinyi yeye huyo nje ya nchi.
hapo kwenye red nanusa harufu ya u ******
 
Back
Top Bottom