Mbowe atangaza maandamano nchi nzima

nashangaa mbowe kila siku anakuja na maneno hayo hayo, yanatuchosha sasa, tunataka action.
 
What the hell is this. Kumpeleka mwanao shule ni jambo zuri sana. Hizi vurugu za maandamano kila siku zinatokana na watu kukosa shule ya kutosha. Mbowe, tunakuheshimu sana, usiwe chanzo cha kuleta machafuko hapa nchini.

.

Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom waliohudhuria mkutano huo amesema maandamano yataanzia Shinyanga, mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine. Amesema nanukuu "hii mijamaa bila maandamano haisikii"

.
Imenibidi nicheke kidogo ... Duh! Rejeo ... mbona leo umekuwa mpole kiasi hiki katika kukoment?! ... siyo kawaida yako hata kidogo .. au ndio maneno aliyoyasema Mbowe kuwa hii mijamaa bila maandamano haisikii .. naona hata Rejeo kasikia! ... kazi kweli kweli!

By the way,
leo nimekogongea like yangu ya kwanza kwako! ... si kwa sababu ya point! La hasha! ... ila kwa wewe kuogopa maandamano! .. na "kwa kusikia".


.
 
Naogopa na nawahurumia watanzania wote wskiwepo wanachadema tunaposhabikia na tutakapoyaunga mkono maandamano ambayo hatujaelezwa kama dhamira yake ni nini.ni vizuri tuyaelewe yamedhamiria nini ndipo tutoe mawazo ama MAoni Yetu,vinginevyo hatutakuwa na maana great thinkers...
 
akihutubia katika uwanja wa barafu dodoma, mwenyekiti wa chama cha cdm amesema atakuwa muasi wa kwanza Tanzania kwa kile alichodai kuonewa na serikali ya ccm kufuatia kitendo cha kucharangwa mapanga kwa wabunge wawili wa cdm mbele ya askari polisi waliokuwa na smg!

Kwa umwagaji damu wa vile nipo tayali kuunga mkono kwa lolote.
 
What the hell is this. Kumpeleka mwanao shule ni jambo zuri sana. Hizi vurugu za maandamano kila siku zinatokana na watu kukosa shule ya kutosha. Mbowe, tunakuheshimu sana, usiwe chanzo cha kuleta machafuko hapa nchini.

ndo shida ya watu waliopita shule na kakariri vitabu alaf wanadhani wameelimika..kazi yao kubwa inakuwa kuj-criticize kila kitu sabau hawaelewi..maandamano muhimu sana kwa wasomi
 
Back
Top Bottom