Kwa sababu siku za kazi angekuwa bungeni au njiani kutoka/kuingia bungeni na ni kinyume cha sheria.....ila weekend hiyo haiaplai!!..jama mbona tunashindwa kuelewa mambo madogo sana??Kwa nini wamkamate weekend???inahusuika vipi hii taratibu??kwa nini wasingesubiria mpaka siku za kazi???fikiria kwanza......
Laana, sawa!! Lakini tulaani pia kitendo cha Mbowe kutokutekeleza amri halali ya mahakama inayomtaka afike mahakamani yeye au atume mwakilishi. Kutokufika mahakamani pasipo taarifa zozote ni ukiukaji wa sheria za mahakama na hivyo alistahili kukamatwa. Hayo ni ya mahakama wala si CCM tena. Na jeshi la polisi linatekeleza amri halali ya mahakama.
Kwa upande wa pili tunapolaani kukamatwa kwa Zito, pia tulaani kitendo cha Zito kuendesha mkutano baada ya muda halali unaokubalika kisheria kuongoza mikutano. Hawa watu wanapigania utawala wa sheria na uwajibikaji, wao wenyewe ndo wa kwanza kuzikiuka hizo sheria wanazotaka ziongoze nchi.
Ni vizuri tusiwe malimbukeni, tuende mahakamani kuwawekea dhamana makamanda wetu, lakini pia tukubali ukweli kwamba wamekosea. Na kama wamekosea wanastahili adhabu sawasawa na Mtanzania mwingine yeyote. Lets not be so much biased. Wangekuwa wamekamatwa wa CCM mngesema wameonewa au mngelaani hivyohivyo?
Tafadhali tafadhali,chonde chonde acha maneno ya kuwapotosha wanajeshi na askari wetu just because some big fkn shot is in remand waiting to face "Pontius pilate".....do you really think utakuwa first lady damu ikimwagika?.....What is the big deal mpaka unataka watu wamwage damu?...JUST STOP IT,IT'S EMBARASSING.....WATU WENGI WAMELALA SAA HIZI...unaongea na watu wa majuu! STOP IT!!...NOW!jamani wanamapambano tuko wapi!tulivumilia na kuwa wapole wakati umefika kwanini tusiajitokeze na tuanze kudai ukommbozi wetu.JK umeanza wewe sisi tunamalizia.vijana monduli,kibaha na kmbi zote za jeshi msibaki nyuma kwa hili. Hata wale wa magereza twende kazi i.
jamani wanamapambano tuko wapi!tulivumilia na kuwa wapole wakati umefika kwanini tusiajitokeze na tuanze kudai ukommbozi wetu.JK umeanza wewe sisi tunamalizia.vijana monduli,kibaha na kmbi zote za jeshi msibaki nyuma kwa hili. Hata wale wa magereza twende kazi i.
Tafadhali tafadhali,chonde chonde acha maneno ya kuwapotosha wanajeshi na askari wetu just because some big fkn shot is in remand waiting to face "Pontius pilate".....do you really think utakuwa first lady damu ikimwagika?.....What is the big deal mpaka unataka watu wamwage damu?...JUST STOP IT,IT'S EMBARASSING.....WATU WENGI WAMELALA SAA HIZI...unaongea na watu wa majuu! STOP IT!!...NOW!
Mbona hamjalaani alipokiuka amri ya mahakama?
Baada ya kusema hayo,unajisikiaje? Ni ushuzi mtupu. Tena wa kijike cha nguruwe.
Baada ya kusema hayo,unajisikiaje?
Haya,move on,mbwiga!....I don't do dudes,I'M STR8!Nahisi kuelemewa zaidi na harufu kali ya ushuzi kutoka kijike cha nguruwe.
Haya,move on,mbwiga!....I don't do dudes,I'M STR8!
I don't do dudes,I'M STR8!
Never heard of any gay, dirty, farting, female pig, but some dudes will still do you regardless.
unatia kichefuchefu , mbowe amekiuka amri ya mahakama...siasa hizi za kupenda kukamatwakamatwa alizipenda mrema , kujitafutia umaarufu
duh!ucseme hvo bana...tema mate chini mkuu.Wenye kufikri tumeshajua kinachotafutwa. ccm kwa kuitumia mahakama na polisi wanataka kujua reaction ya wana cdm kwa vitendo dhalmu. Wana cdm wakiendelea kuwa kimya bas kinachofuata ni kutekeleza mauaji ya viongoz wa cdm hususan dr slaa. Mimi si mtabir lakn kwa vipimo hivi mauaji yanaandaliwa. Tusubiri na tusipokuwa makn yatatokea.
ameidharu mahakama acheni ifanye kazi yake....msiingilie kabisa utajikuta mwenyewe mahakamani...
Hakuna aliye juu ya mahakama. Tusiwe vipofu wa sheria. Mbowe ni mtanzania kama wengine wote,, anapokiuka amri ya mahakama, sheria inachukua mkondo kama kawaida. Yeye ni nani aidharau mahakama? Mbowe yuko salama, na kila kitu kitafanyika kufuata sheria, wewe unayewashauri wenzako, utajikuta peke yako mahakamani. Watanzania si mbumbumbu wa sheria siku hizi.
ameidharu mahakama acheni ifanye kazi yake....msiingilie kabisa utajikuta mwenyewe mahakamani...