Michaeljackson Assenga
Member
- Jan 4, 2017
- 51
- 24
dash dash mpakatwa nilikuwa nabisha sana na jamaa leo nimethibitishaKamanda logic [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi umekisoma ulicho kiandika? Kuna watu ni disgrace to the human race.Nendeni mkamshitaki kwa Mange.
Wewe humfikii mange hata punjeNendeni mkamshitaki kwa Mange.
Sijajua mkuu.....nilishawahi fika pale kurasini anapoishi, mpaka amejengewa nyumba nyumba nyingine maana ile ya mwanzo ni gorofa hawezi kupanda ngazi.Kwani kesharudi Dubai kutibiwa...inawezekana hajamaliza doz[emoji15] [emoji15]
Nyani what is wrong with you now days? You no longer discuss issues!Nendeni mkamshitaki kwa Mange.
What do you mean?Una bahati sana uzi huu haujaunganishwa .
Niwemugizi ni chadema na alikuwa Team lowasa matamko yake ni ya kichadema kupitia kanisani anyway. Kardinali pengo ataongea na Papa sababu anayo simu yake Na ndie anapeleka performance report Za maaskofu Tanzania kwa balozi wa Vatican na kwa Papa. Muda si mrefu niwemugizi atapata jibu toka Vatican kwa Papa. Kardinali Pengo is not his equal. Ajiandae kuachia jimbo la Rulenge any TimeKwa kweli huyu pengo ameshangaza ndo mana gwajima alimpa za USO[emoji23]
What's wrong with me? Same thing that's wrong with you!Nyani what is wrong with you now days? You no longer discuss issues!
Mkuu mawazo ya mtu yanaheshimiwa, lakini pia katika kuyaheshimu hatukatazwi kuyajadili........ndio maana naye amejadili mawazo ya mwenzake aliyesema Watanzania wanahitaji Katiba.Kwa nini hampendi kuheshimu fikra na maoni ya wengine? Hayo ni maoni yake binafsi kama Raia wa Tanzania na ana uhuru na Haki kikatiba.
Shame!
Km tutaendelea kuleta ushabiki na itikadi za vyama hatuwezi kupata muafaka juu ya mambo yanayotugusa watz kamwe!!Ndaki19
Alichosema Askofu Pengo ni kwamba "Kauli ya Niwemugizi siyo msimamo wa Kanisa Katoliki".....alipokosea hapo Kama kiongozi Mkuu wa Kanisa la Katoliki ni nini!? Mara ngapi huyo Mbowe huwa anakanusha kauli za Wanaharakati na kukiweka mbali Chama kwa manufaa ya misukule ya Chadema!?
Huku mnakoingia kwenye vita na chuki za Kidini kutawamaliza. Maana ukabila umewashinda sasa mnaanza kutukana na kuwadhihaki Viongozi wakuu wa Dini hadharani. Mjitafakari.
Niwemugizi ni chadema na alikuwa Team lowasa matamko yake ni ya kichadema kupitia kanisani anyway. Kardinali pengo ataongea na Papa sababu anayo simu yake Na ndie anapeleka performance report Za maaskofu Tanzania kwa balozi wa Vatican na kwa Papa. Muda si mrefu niwemugizi atapata jibu toka Vatican kwa Papa. Kardinali Pengo is not his equal. Ajiandae kuachia jimbo la Rulenge any Time
hamna lolote hiyo katiba mpya mnayopigia makelele hata nyinyi wenyewe hamjui mnachotaka mmekazana na tume huru tu utazani katiba nzima inaeleza tume huru.....kupata katiba mpya yeye maana halisi ya katiba mpya sio swala la lelemana kama mnavyodhani na halitaki siasa zenu uchwara hizo.....tulieni kama mnanyolewa.watu wanaolowa makalio utawajuw hawana chembe ya uchungu wa nchi bali matumbo yao na familia zao wakati wa katiba mpya ni sasa
nadhani umemlisha maneno hakusema haoni umuhimu wa katiba bali amesema kanisa lina utaratibu wake wa kuishauri serikali na kuzungumzia masuala ya kijamii. lakini hata kama angekua amesema hayo bado askofu pengo ana uhuru wake wa kutoa maoni kulingana na mtazamo wake kama alivyofanya niwemugizi.Umri na maradhi pengine vinachangia.......Cardinal angesema yote lakini sio kusema haoni umuhimu Wa katiba, kwakweli ameshangaza.
[emoji125][/QUOTE]Wakatoliki si ccm mkuu kule wanatoa mawazo yao hadi ndoa za jinsia moja na hawafukuzwi sembuse hilo acha kukariri ki-ccm ccm [emoji23] [emoji23] [emoji23] UOTE="alexelias, post: 23859132, member: 451796"]Acha mawazo yawe huru!
Umri na maradhi pengine vinachangia.......Cardinal angesema yote lakini sio kusema haoni umuhimu Wa katiba, kwakweli ameshangaza.
Mkuu,
Kuwasiliana na Ikulu sio
Lazima waende Ikulu
Hata kutoa tamko kwenye vyombo vya habari linalohusu serikali ni njia mojawapo ya kuwasiliana na serikali.
Tamko la kanisa katoliki hutolewa na Baraza la Maaskofu nchini.
Kumbuka pia kwa sasa Niwemugizi hana cheo chochote kwenye Baraza la Maaskofu.
Ni kweli kabisa mkuu.hoja zimewaishia,wameshikwa pabaya sasa wamebaki kuropoka tu na kucheza sinema ambazo WANAFELI kila uchwao.