pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,035
- 15,244
Nafikiri ni wakati muafaka kumpumzisha na vyeo hivyo apewe mwingine kwani hata wajibu wake kwa kondoo wake ameshasahau. wajibu wa kiongozi kama yeye ni kusimamia ustawi wa kondoo wake kiroho na kijamii. inasikitisha sana.