Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
Hii thread tangu nilivyoiona jana mpaka leo nashangaa bado ipo. Ifike kipindi tujitambue mana huu ni upotoshaji kwa watz. Mbowe yupo hapahapa na hajaenda nje nchi. Mtoa post jipime akili yako mbulula we.
 
Nikweli amedhoofika si mliona 2010 kwenye uzinduzi wa kampeni pale jangwani,alianguka kwenye jukwaa na kuzimia mbele ya umati wa watu.
 
Ha ha ha duh mkuu kama umepokea buku saba kwa ajili ya kuandika huu ----- basi hongera zako.
 
unaweza kuficha jina lako lakini si mapenzi yako kwa chama hama JF
 
Helena Ongara sio wa wa Tawi la DMV.Helena ni wa columbas ,ohio.Mimi ni Ludigo Mhagama. ninawatoa hofu makamanda,tutaandika baadae ripoti nzuri kabisa.Mimi ni ndio katibu kwa DMV kwa muda kutokana na katibu wetu kwenda kugombea ubunge.Ninakupeni uhakika huo.Sisi chadema hatufichi kitu kama mnavyosikia mwenyekiti wetu Mbowe anavyoongea kila mara.umeandika uongo ,afadhali ungeandika propaganda.Kwanza nakuuliza hiyo hoteli ya ohio ipo mtaa upii???????.sijasikia kwa muda wangu au kuona hoteli inaitwa ohio.Labda.Najua hawa watu waliosomea propanda ulaya mashariki wanapata shinda sana siku hizi.Nafikiri mnawajua ni akina nani hao.Nakushauri rudi katengeneze tena hii propaganda ili hata ulete challange kidogo ndugu yangu.sasa hapo umepoteza muda na air time yako kwa kuandika kitu chepesi mno.alafu ccm wamekupa pesa bure,nawaomba ccm wawalete watu hapa watu makini.Inasikitisha ccm wanapoteza pesa kuwapa watu wakae kwenye computer ,na ni watu sio makini,kwanini hizo pesa msipeleke kwa kwenye nyumba za watoto yatima?
 

Hawa maficm haya ndio wanaombea yatokee lakini hayotekei. Wanaposubiri yatokee na kuona hayotekei basi uvumilivu unawshinda wanakuja kumalizi hasira zao hapa JF!! Kama tungekuwa bado enzi za stone age, maficm wangekuwa wachawi waliobobea
 
 
viroba hadi marekani? Kikwete na diamond wameingiaje kwenye thread
 
Sasa eleza msingi wa Mbowe kwenda kwa Slaa ni ili iweje je ni ili slaa aje kumnadi Lowasa au?Eti unaweza kukuta huyu naye kalipwa mamilioni kama slaa muhimu ya mtandaoni.

Unataka mjadala kuhusu ndoto za mateja? Labda mwende Lumumba
 

Umetumwa eti????????????????????????
 
 
Haufanani hata na ukweli, nikushauri kitu mkuu, ungeweza kutumia muda wako kuwa unaandika riwaya kama anavofanya Erick ingekuwa na faida saana kwako kuliko unavopoteza muda wako kuandika habari za umbeya zisizo na tija.
 
Duh mmezoofu kweli ccm, nani hajui press conference zote chini star tv ni za chama flani, tutajua nani kadhoofu kati ya Lowassa na CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…