Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
Hata Magufuli mwenyewe anatamani kuhamia UKAWA sema tu ndio hivyo tena keshapewa kibarua na Lord Lofa?

Mhh, wapii, ahamie UKAWA wakati panavuja hapalaliki, mguu pande 24 hours
 
Lowassa kwisha kazi yake.

Sasa hivi anajikaza kisabuni tu, anateketea huko anatoa povu.

Mbowe kishapiga zake na anafikri Slaa kalamba anakwenda akachukuwe mgao wake kutoka kwa Slaa au akadai madeni yake.

Cheza na Mchagga!

Mbowe ana roho mbaya sana, yaani anamtumia mgonjwa kutaka madaraka! Hana huruma kabisa, badala amuache akapate tiba akipona arudi ulingoni, yeye hilo haangalii! Bora punda afe lakini mzigo ufike!
 
Inaelekea ulikuwepo kwenye mazungumzo yao.Duh Hongera sana.Lakini kumbuka ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Egnecious

Mkuu mbona ukawa sio ya mheshimiwa MBOWE WALA SLAA Ukawa ni taasisi kama zilivyo taasis nyingine. Mungu akipanga kapanga tu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa eleza msingi wa Mbowe kwenda kwa Slaa ni ili iweje je ni ili slaa aje kumnadi Lowasa au?Eti unaweza kukuta huyu naye kalipwa mamilioni kama slaa muhimu ya mtandaoni.
 
Baada ya mwenendo wa Kampeni kuonekana kuwa mgumu huku kila alichoahidi Lowassa kutotimia mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe aamua kukutana na aliyekuwa katibu wake Dkt. Wilbroad Slaa nchini Marekani.

Taarifa za uhakika ni kuwa Mbowe aliondoka nchini toka juzi na kupokelewa na wanachama wa Chadema tawi la DMV aliposhuka Uwanja wa Kimataifa wa Dulles huko Marekani ambapo Dkt. Slaa alimtangulia muda kidogo.

Taarifa zilizopatikana toka kwa moja ya viongozi wa tawi hilo aliyejulikana kama Kalley Pandukizi amesema ni kweli Mbowe na Slaa tumewapokea na wapo hoteli moja hapa Ohio kwa ajili ya mazungumzo binafsi. Amekiri baada ya kumpokea Mwenyekiti wao Mh. Mbowe walimpeleka moja kwa moja hotelini ambapo ndipo walipomkuta Dkt. Slaa.

....
Walisahau Majuto ni mjukuu huja baadae!!
Wewe ni mbogo. Kiwanda cha nini vile?

Wanaukumbi.

Taharuki imekikumba chama cha mapinduzi huku tathmini yao ya kambi ikiwalegeza na kuonyesha kuwa Lowassa atashinda mpaka kuwaangukia mawaziri wakuu Cleopa Msuya na Salim Ahmed kujiunga na wagombea wao.

Wengine waliofatwa ni komandoo Salmin Amour na Mark Mwandosya.

Taarifa za uhakika toka lumumba zinaeleza kuwa kuandaa mkutano mmoja ni 'gharama kubwa' kitendo kinachotoa tathmini ya kuachwa mbali na UKAWA.

Taarifa imeonya tabia ya waliotangulia ktk timu ya mgombea kuwa makini na kauli zao kwani ndizo zinazomjenga Lowassa.

Magufuli anazunguka ktk kampeni na wasanii ambao huwaaza watu uwanjani ndio maana burudani huwa mwisho wa mkutano.

Ccm kwa mwaka huu watashindwa vibaya.

Msuya na Salim kukinusuru chama cha mapinduzi..

Link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-salmin-mwandosya-na-salim-kuokoa-jahazi.html
 
Hivi Mbowe yuko wapi??maana ameondoka ghafla tu!

Mikakati ya Serikali ijayo Kampeni imeisha-walidhani kupitia Dr wamevuruga UKAWA kumbe ndiyo njia nyeupe!

Kama unajua sanyansi ya hesabu hutaumiza kichwa!

Wakati huu akiwa CCM wadhamini kiasi hicho! Ni wangapi bado watampa kura wao na Familia zao.

Ukiongeza na UKAWA!Huhitaji kuwa Prof.kung'amua hili.


[h=3]Raia Mwema - 'Mafuriko' ya Lowassa[/h]www.raiamwema.co.tz/‘mafuriko’-ya-lowassa


Translate this page
Jul 1, 2015 - KAMBI ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, imejigamba kutimiza idadi ya wadhamini 879,000 nchini kote, wakati wa mchakato wa ...
 
baada ya ahadi ya Mgombea Raisi mmojawapo kufa, kufeli mnakuja kutuletea riwaya yingine tena. Haya siku zaii kuyoyoma tu na nyotaya uuitae mgonjwa yazidi kuiarika.
 
huko TISS hamna kazi? si mcheze tu hata game ya Solitaire kwenye laptop zenu kuliko kuandika gossip

Halafu huyu Tiss atakayekuwa ameleta huu utoto hapa jukwaani utakuta ni mzee, hivyo anajaribu kuwapooza viongozi wa shamba la bibi a.k.a ccm ili wasimuone alikula hela ya bure na mchongo wao umebuma. Kiujumla waliowapa Slaa na Lipumba hela hayo ndio walitarajia yawe matokeo halisi, lakini sasa imekuwa ni kinyume hivyo hakuna jinsi zaidi ya kuja na hivi vioja hapa jukwaani.
 
Kutoka Dulles Airport to Ohio distance ni Km 494, na kutoka Allexandria Airport (Virginia) to Ohio ni km 33 , Kiakili isiyohitaji shule Mbowe angeshukia Allexandria na si Dulles !
Yaani ushukie Kilimanjaro Airport then uwende Morogoro , wakati Dar kuna kiwanja na Morogoro unapoenda napo kuna uwanja !
Hawa akina Nape wakati wanawatuma kuleta upuuzi hapa muwe mnawaomba na geography texts! O/wise mtaishia kuumbuka !
 
Egnecious

Hii kitu umeandika hapa, inachekesha sana. Vizuri ipeleke jukwaa la utani.

Mimi naona egnecious apeleke hiyo kitu jukwaa la utani, ila wewe Nonda itabidi ukawe coordinator wa hilo jukwaa, huwezi comment namna hiyo, toa hoja!!
 
Mabadiliko! Lowasaaaaaa! Lowasa! Mabadilikooooo! Hapa hata mkichechemea lazima Lowasa aingie Ikulu. Hakuna wakusikiliza stories za saloon za kike.
 
Egnecious
Duuh ni hatariii sana kwa afya ya Edo kupata taarifa kama hizi sijui tumsaidiaje na ameyataka mwenyewe haya'':croc:
 
Last edited by a moderator:
time will tell.........................October is not far
 
Egnecious

Hii kitu umeandika hapa, inachekesha sana. Vizuri ipeleke jukwaa la utani.

Kama haya yanayosemwa ni utani, tuambie Mbowe alipoenda, kiasi kwamba anamuacha mzee wa watu peke yake kwenye kampeni mpaka anashindwa kuhutubia, anaahirisha mikutano, yaani kila kitu kipo ovyo, Mbowe anaipeleka CDM pabaya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom