Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
Tupo pamojaa kamandaa hata hivyo mm jana nilishajua ni uzushi mkuu. Hawa viroboto wanashida sanaa
 
Ila vijana wa maccm na mabwenyenye wote, muache kuigeuza nchi yetu, taifa la watu waongo, mtu unaandika DMV, dulles airport alafu unasa vipo ohio ni uongo wa kijanga na hatari..ukawa lindeni kura tuondoe hawa watu..wananajisi nchi

Mnawakati mgumu mwakahuu
 
nyie endeleeni na maisha yenu huko USA... kama mnataka siasa mje tanzania,, huku ndio watu wanaandamana na kupigwa virungu,, mnasubiri ukombozi utokee ndio mje?? taifa tutalikomboa wenyewe tulio bongo na ukombozi wakweli utakuja tu muda si mrefu na sii hizi porojo za ukawa.. Wenye shida wako bongo porojo mnaenda kuzipiga USA, ukombozi au mapinduzi ya namna gani haya??
 
Mnawakati mgumu mwakahuu

Kwa kawaida anayekuwa na wakati mgumu ni yule anayeacha shughuli zake na kuamua kuzua uongo na uzandiki. Ukweli huwa unasimama lakini uongo hauna maisha. Na binadamu thabiti akiitwa muongo hiyo ni disaster, anapoteza heshima katika jamii na kama ana familia basi familia nzima inajisikia aibu kuwa na mtu muongo.
 
uongo uliosambaa wakanushwa kwa barua hii.

attachment.php

taarifa hata mhuri wa chama haina ktk nchi iliyostaarabika kama marekani? Nani aamini. Lisemwalo lipo
 
Barua ya wazi kwa umma kutoka kwa mwenyeti wa CHADEMA, Marekani akikanusha uwepo wa Mbowe Marekani.
 

Attachments

  • 1442678351372.jpg
    1442678351372.jpg
    46.8 KB · Views: 616
kila kona inayoshika ccm inateleza. hongeza kamanda kwa kuuupa ukweli jamii
 
Kamanda asante kwa taarifa sahihi, na pole kwa kupoteza muda wako kujibu propaganda za kipuuzi za Magamba. Juzi niliwaambia kwamba Aliekwenda Marekani ni Kikwete sio Mbowe, kwahio tuseme kuwa Kikwete ndio kamfuata Slaa "kumpongeza"
 
Kungekuwa na ka mhuri hapo chini pengine ingeaminika zaidi. Au hii ni taarifa binafsi na haipaswi kuchukuliwa kama official document?

Pandukizi namfahamu personally. Ni mtu articulate sana, mwenye msimamo thabiti na ANAICHUKIA CCM MPAKA KUFA. Aliwahi kufanya kazi Ikulu na sijui walichomfanyia huko kwani chuki yake kwa CCM ni ya kushangaza. Asante kwa taarifa!
 
Ahsante Kamanda Mbowe.....waambie Chadema ni taasisi na ipo juu kabisa ya utashi na matakwa ya mtu binafsi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom