Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
nasikia dr slaa brigadia amekataa katakata kifupi kamwambia amestafu siasa fedhuri mlionifanyia imetosha
 
Mabadilikoooooooo lowasaaaaàaaaaaa lowasaaaaaaaa
 
Iam not confortable with this , it looks like half truth or cooked infomation. Help!
 
Wamsimamie wamwangukie wewe inakuhusu nini??? Chapa kwato huko!
 
Ni kweli tangu Dk Slaa aondoke baadhi ya wafuasi wa CHADEMA asilia wamerudi nyuma.Ninavyoona kura watampa Magufuri.

tumpe nani sasa...??, yani hapa Kazi tu bila kupenda, na roho zinatuuma lakini ndo hivyo tena
 
Mkuu habari kama hizi muwe mnatupiamo kapicha. Ebu wasiliana na Hellen atupe mshindo nyuma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom