Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
Mbowe anaomba msamaha kinafiki tu, je walipomtuma aliyekuwa mkewe Rose Kamili kuzidi kumtia hasira Slaa hawakujua ni kukosa shukurani? Na Gwajima kuja kuongelea maisha ya Slaa baraka hizo alipewa na nani? Kila siku akina Mbatia wamekuwa wapambe wa kumsemea Lowasa na kumchafua Dr Slaa, wamwache ajipumzikie wasimpe tabu, walidharau dafu wakathamini embe na kusahau kuwa ni tunda la msimu tu
 
ha ha Lumumba bwana, nashauri baada ya uchaguzi CCM ifungue magazeti ya udaku na story kama za shigongo hivi vipaji visipotee bure.
 
Mbona unajichosha kuandika story ndefu namna hii, aaghhh usituchoshe bana!
 
Kutapatapakwa wafaa maji; weye unamjua Mbowe au unamuona kwenye picha za kijarida cha uhuru?! ile ni One man army; no retreat No surrender!! Dr Mihogo Slaa atafute kibarua cha kufagia barabara; CDM/UKAWA haturudi nyuma.
 
ha ha Lumumba bwana, nashauri baada ya uchaguzi CCM ifungue magazeti ya udaku na story kama za shigongo hivi vipaji visipotee bure.

Huwa mnaanza hivi hivi, baadae ikija kudhihirika ni kweli huwa mnabadili maneno na kuyapa sura nyingine kabisa! Chadema ni chama kilichojijenga kwa ulaghai sana.
 
Kwaheri CCM , bye bye tutaonana ukiwa chama kikuu cha upinzani Tanzania na ,mmwenyekiti akiwa John Mtembezi (John Walker) aka Vasco da gama
Egnecious
 
Last edited by a moderator:
Hata Magufuli mwenyewe anatamani kuhamia UKAWA sema tu ndio hivyo tena keshapewa kibarua na Lord Lofa?
 
Nasema hivii,hata Mungu akiamua kumchukua ENL leo,tutaupigia kura mwili wake ukiwa kwenye jeneza kuliko kumrudisha nduli ccm madarakani.
 
Duh ccm mnhangaika sana ila lowasa ambae mnamwitaa dhoofu sana ndo rais wetu hata atambae jukwaani ntampigia kura yangu tu

Hivi mbona unapozuka ukweli kuhusiana na UKAWA, watu wa kwanza kuwataja ni CCM, kwani CCM ndio wanaosababisha mipasuko ndani ya UKAWA?
 
Egnecious

Hii kitu umeandika hapa, inachekesha sana. Vizuri ipeleke jukwaa la utani.
 
Last edited by a moderator:
Mtangaika sana lakini mwaka huu tumeshasema #CCMOUT nyie masisiemu endeleeni porojo na umbea sisi tunazidi kusonga mbele.mbona mnahangaika sana na UKAWA kuliko ccm?




LOWASA HUYO ANAKUJA NA TANZANIA MPYA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom