KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,551
- 813
Kama Mbowe hata kipindi Slaa amefungiwa nyumbani kwake na mchumba wake Mshumbusi hakudiriki kwenda kumbembeleza wala kumwomba msamaha,sasa hivi ndio amemfungie safari mtu aliyesindikizwa na watu wa (KITENGO) usalama wa taifa,tena kwa kupitia mlango wa nyuma pale Serena Hotel na kukaa faragha na Mwakyembe.
Leo hii hata Slaa akirudi atasaidia nini maana naona kazi yenyewe imeshaisha tena kuliko kama angekuwepo kwa vile wengi tumeshamsahau na mafuriko yanazidi kila kukicha,nadhani hata yeye kule alipo anajilaumu kwa nini alikubali ushauri wa Delilah
Ama kweli watu wengine wanawaona wenzao kama mambulura!!!!.