Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
Huyo aliyezusha ana stahili kichapo+ki..fi#$@ cha nguvu
 
Mimi ndiye katibu wa DMV hapa USA.nashangaa na hii habari.kwani unaonekana huijui washington dc.Huyo mwenyekiti wa wa wanawake hapa DMV ni mwingine.Huyo uiyemtaja hapo juu ni wa tawi la ohio.Pole sana sisi tupo makini sana hata mkwere anajua hilo.Hatumbabaikii mtu ndio maana akitaka kujaza watu akija huku lazima aje na huyo diamond msanii mwenzake
 
Hivi kama kweli unafikiri kwa akili ulizozaliwa nazo kwa nini humuulizi aliyemkata pinda, ghalib bilali, na lowasa? Kwa nini aliwakata? Unabaki unajisumbua bure haya ni mabadiriko ya uma wewe unajisumbua kama na wewe ulihusika kwenye usafirishaji wa twiga kijifiche kwa kagame maana balaa linakuja baada ya october mbowe hawezi kutana na yule pandikiza uongo mwingine
 
Alafu nyie mods wa jf naona mnapewa mlungula na magamba lumumba group Haiwezekani mkaaiacha habari ya kizushi kama hii inakuwepo mpaka sahv.....ondoeni
 
Hizi propaganda tulishazichoka....wimbo ni mabadiliko....mmetafuta kutudhoofisha kwa pesa, usaliti...vitisho....matusi....dharau...mmeshindwa...


Tunasonga mbele....tunaikaribia ikulu...uzuri wa demokrasia mnaikabidhi bila kumwaga damu hasubuhi mapema ya tar 27/10...mtachelewa kidogo kutangaza,matokeo kwa siku mbili kwa sababu ya mshangao...ila ikulu mnatoka salama asubuhi ukaws tunaingi...tutaunda serikali yenye speed kali...baada ya miaka 5 watanzania watajiuliza walichelewa wapi?
 
Najua ni ngumu wao kuamini unachosema mpaka watapoona ila ki ukweli hali sii shwari UKAWA
 
Too cheep to believe! Yawezekana kweli Mbowe kaenda Marekani na inawzekana kabisa akawa alienda kumwona Dr. Slaa na inawezekana kabisa kua ameenda kufanya nae mazungumzo but kusema kwamba eti wajitoe UKAWA au kampeni zimepooza, hilo unatudanganya mkuu, jamaa anatwanga hadi Chato we unazungumzia kupooza?

Ndugu yangu hao ukweli wanauona ila wanadhani ndoto zitawaokoa. Waache waote kama mateja
 
duh jamaa wanapropaganda za ajabu........ kitaani huku wanasambaza habari kuwa lowassa alijikojolea baada ya mkutano wa kampeni chato!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom