Umelisha upepo kwa kua ni msukule ukaendelea kulala pole mkuu endelea kua msukule.Huyu Mbarouk jana nimekesha nikimtetea kumbe ni wale wale vibaraka wa MACCM! Nilimuamini sana huyu jamaa kumbe nilikuwa najilisha upepo.
Umelisha upepo kwa kua ni msukule ukaendelea kulala pole mkuu endelea kua msukule.Huyu Mbarouk jana nimekesha nikimtetea kumbe ni wale wale vibaraka wa MACCM! Nilimuamini sana huyu jamaa kumbe nilikuwa najilisha upepo.
Hizi ndo siasa za Tanzania. Kagaiya alikua Kigoma kuwaanda wazee kumchukulia Fomu Mbowe.Wanasiasa ni watu hatari sana,inahitaji akili za ziada kung'amua hila zao,mh hii ACT ni kweli tawi la CCM au ni project maalum ya wahuni flani waliopo Kwenye vyama vya Upinzani ili kuweka mikakati yao ya kubakia madarakani hai.Ila ninaamini ni kweli ACT si chama cha kweli Upinzani isipokuwa tu napata tabu kumjua mmiliki wa kweli wa ACT ni nani.Mbona Zitto ana sita kujiunga nacho kwani ameona nini pale ambacho wengi wetu tumeshindwa kukiona?ACT imeanzishwa na wakati huo huo viongozi wa CHADEMA taifa wanatangaza tarehe ya uchaguzi ngazi ya taifa,am simply connecting the dots here.Anyone who will announce to contest against the chairman will immediately be associated with ACT,as simple as that.
Mwenyekiti Chadema Mkoa wa Tabora Ndugu Kansa Mbaruku amejitosha mwenyewe kwa hiara na kukiacha chama hicho, amesema amechoshwa na utawala wa kidhalimu wa viongozi wa Chadema.Amechoshwa pia na ukiukwaji wa Katiba ya chama hicho.Lakini amesema yeye ni mwanasiasa na atangaza chama ambacho atakachojiunga nacho,lakini ataangalia chama kinacho amini katika Uzalendo wa Taifa.
Kweli mama zito kumekucha nenda kamuandalie chai mumeoKumekucha .....
Mwenyekiti Chadema Mkoa wa Tabora Ndugu Kansa Mbaruku amejitosha mwenyewe kwa hiara na kukiacha chama hicho, amesema amechoshwa na utawala wa kidhalimu wa viongozi wa Chadema.Amechoshwa pia na ukiukwaji wa Katiba ya chama hicho.Lakini amesema yeye ni mwanasiasa na atangaza chama ambacho atakachojiunga nacho,lakini ataangalia chama kinachoamini katika Uzalendo wa Taifa.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora Kansa Mbarouk amejiuzulu nafasi zake zote ndani ya CHADEMA na kutangaza kuwa sasa anaenda kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Taifa.... Hatua hiyo ya kushtukiza imemtia kiwewe mh Mbowe pamoja na kundi lake ambao hivi sasa wanahaha kumchafua kansa... wanatumia mitandao ya kijamii, nafasi zao za uongozi ndani ya chama na marafiki zao mbalimbali lakini mbaruk kwa jinsi anavyokubalika atashinda...
Twende na Mbaruk
Sasa Imagine Mbaruk amshinde Mbowe kihalali kitatokea nini? Je, wewe utajisikiaje CHADEMA kuongozwa na mtu tofauti mwenye mtazamo mpya na mbinu mpya za kisiasa? Mbowe atakubali au ataenda mahakamani?Baada ya -Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Aikaeli Mbowe kusema yeye ni kisiki Chadema na kwamba mwenye uwezo wa kujipima ubavu naye ajitokeze, Mwenyekiti wa CHADEMA Tabora amejitokeza na kutema cheche kuwa ubavu huo anao.-
Hata hivyo haikuwa rahisi kwa mwenyekiti huyo kuchukua fomu hasa pale wapambe wake walipopigwa stop kumsindikiza huku wandishi wa habari nao wakinyimwa fursa ya kushuhudia tukio hilo la mpinzani wa KISIKI kuchukua fomu.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari , kuna uwezekano kubwa wa fomu ya mpinzani huyo wa mwenye chama ikachakachuliwa na kupelekea kukosa sifa za kupigiwa kura.
Mytake:
Kwa mujibu wa maelezo ya Mbowe kuwa yeye yu KISIKI ndani ya CDM, nilitegemea mpinzani wake apokelewe kwa mikono miwili ili kudhihirisha u-kisiki wake. Nini tafsiri ya mizengwe hii dhidi ya Mwenyekiti wa Tabora?
Source: Mtanzania, Mzalendo