wabungenjaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,782
- 337
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora Kansa Mbarouk amejiuzulu nafasi zake zote ndani ya CHADEMA na kutangaza kuwa sasa anaenda kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Taifa....
Hatua hiyo ya kushtukiza imemtia kiwewe mh Mbowe pamoja na kundi lake ambao hivi sasa wanahaha kumchafua kansa... wanatumia mitandao ya kijamii, nafasi zao za uongozi ndani ya chama na marafiki zao mbalimbali lakini mbaruk kwa jinsi anavyokubalika atashinda...
Twende na Mbaruk
===============MAKAO MAKUU CHADEMA WAFURAHISHWA NA KITENDO CHA MBAROUK KUGOMBEA UENYEKITI
VIONGOZI NA WATUMISHI mashuhuri kadhaa ndani ya ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHADEMA, wameonyesha kufurahishwa na kitendo cha Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora kupambana na MBOWE kwenye kugombea uenykiti wa Taifa wa CHADEMA.
wakizungumza na mtandao huu huku wakiomba kutokutajwa majina yao humu wamesema kwa sasa watapata pa kupumulia ikiwa MBARUKU ATASHINDA.
''unajua Mbowe anatufanya sisi kama watoto wake, amekigeuza hiki chama kama chumba chake cha kujisaidia haja kubwa na ndogo, anakifanya anavyotaka, ona alivyojifedhehesha, amemtuma BENSON KIGAILA, akampa Milioni 16 kwenda kigoma kushawishi wazee, badala yake KIGAILA amerudi na wacheza ngoma wa mapigo saba wale. nimefurahi sana MBARUKU KUTANGAZA NIA. tutamsaidia chini chini auangushe huu mbuyu uliooza''. alisema
naye Afisa mwandamizi MAKAO MAKUU ya CHADEMA kwa sharti lile lile la kutokutajwa jina kwa sasa amesema '' unajua mbowe alitamani kulia aliposikia MBARUKU amechukua fomu, alipiga simu kila sehemu kutukana matusi mazito mazito, eti tumemruhusu vipi kurudisha fomu?, huyu mwenyekiti sasa anaanza kuchuja vibaya.........nakwambia asipojiangalia sawasawa, lazima aangushwe. watu mikoani wanamchukia mno, kwa kweli amekuwa DIKTETA zaidi ya IDDI AMINI. chama hakiwezi kuendeshwa kwa anavyotaka yeye''.
mtandao huu ulipojaribu kumtafuta MBOWE kuthibitisha minong'ono hiyo simu yake ilikuwa ikiita bila kupokelewa.

KANSA MOHAMED MBARUKU achukua fomu kupambana na MBOWE uenyekiti chadema Taifa,kwa sasa ni mwenyekiti wa mkoa wa Tabora.
Hali ya Usalama wa Mbowe ndani ya CHADEMA imezidi kuwa mbaya baada ya jana kupata mpinzani aliyefuta ndoto yake ya kutaka kupita bila kupingwa.
mpinzani huyo aliyerudisha fomu yake ya kugombea uenyekiti jana siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu saa 9.25 alasiri huku akiwa ameongozana na walinzi na wajumbe wengine kutoka zaidi ya mikoa 19 wanaotaka kumtoa mbowe madarakani ili wadhibiti nidhamu ndani ya chama.
alipoongea na waandishi wa habari waliotaka kujua nini vipaumbele vyake alisisitiza kuwa ni NIDHAMU YA MATUMIZI YA FEDHA ZA CHAMA, DEMOKRASIA KWA VITENDO na kukomesha MAKUNDI na UBAGUZI wa MAKAO MAKUU.
![]()
AKIINGIA MJENGONI
![]()
KWA RAHA ZAKE
![]()
AKISINDIKIZWA NA VIPANDE VYA WATU