hisa zipi?mbowe ashindwe? Sasa na zile hisa zake Chadema itakuwaje?
familia ipi?Chama cha familia hiko ataundiwa zengwe tu
hisa zipi?
haa haaa mbavu zangu mie!si uchaguzi ndio maana yake hiyo mbowe sio jk alishindwa na slaa akang'ang'ania ikulu
familia ipi?
Uchaguzi utafutwa, utakua Batili.
Kwa nini wapambe wake wakatazwe kumsindikiza na wandishi wa habari kukatazwa? Huu ndiyo mzizi wa mada yanguKwani hajachukuwa?
Si amechukuwa, kama ndivyo kapewa haki yake, mengine nimajungu ya ccm na akina thatha na wengine