utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
hivi chadema itafanya kazi na nani?? mbona hii saccos sasa ina vituko kupindukia
okoshengw'a doho..... tuliaga tameChadema kama wewe siyo mchaga halafu ukawa tishio huwezi kudumu hata kidogo lazima watakuondoa tu waachieni chama chao wenyewe.
Chadema kama wewe siyo mchaga halafu ukawa tishio huwezi kudumu hata kidogo lazima watakuondoa tu waachieni chama chao wenyewe.
akaloshindo kako nkoyi kanonu no..... nzogo shi elelohivi chadema itafanya kazi na nani?? mbona hii saccos sasa ina vituko kupindukia
atabaki mbowe na mtei pekee
nzogo shi elelo nkoy!ginehe oliza?
Wewe Upo Lumumba mambo ya Chadema yanakuwashia nini? Angalia pilipili si yako inachokuwasha ni nini?
kibantu hujui sembuse kichaga?kichaga hicho au?
kibantu hujui sembuse kichaga?
Mkuu sasa kama ushahidi mnao kwanini msishughulikie ndani ya chama apate adhabu kuliko kuripoti JF? Tumaini makene kama afisa habari wa chama ana mamlaka gani kumsema kiongozi mwenzie nje kama ni mamluki pasipo kuwa offically approved kwa vikao vya chama? Hamuoni kuwa hili swala linakipaka chama matope?
chadema imekufa kifo cha mende
Huyo Mbarouk litamponza jina lake tu ila anafaa kuwa kiongozi kwa vile ni jasiri
MSIBA MZITO CHADEMA
TAARIFA ZILIZO TUFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA MWENYEKITI WA CHADEMA WA MKOA WA TABORA NDUGU KANSAS MBAROUK AMEJIUZUlU LEO, SABABU ZA KUJIUZULU KWAKE NI KUTOKANA NA UONGOZI WA JUU KUTO KUSHUGHULIKIA MIGOGORO ILIYO NDANI YA CHAMA NA KUKIACHA CHAMA NA WANACHAMA WAKE KUFARAKANA.
SAMBAMBA NA MWENYEKITI HUYO PIA KADA MAARUFU KUTOKA MKOANI TABORA BWANA M. KWITIME NAE PIA AMEJIUZULU KWA SABABU HIZO HIZO.
Kama jamaa ni msaliti au Mbowe anakubalika waende kwenye uchaguzi ili Mbowe ashinde 100% na kuonyesha Kansa alivyo msaliti.Jamani Mbarouk ni mwenyekiti wangu wa CHADEMA mkoa wa Tabora, mbona mnamuita mamluki wakuu kisa kutangaza nia, Tumaini Makene na wenzako jiangalie sana kuvumisha hizi habari za bila utafiti sio vizuri kabisa kwa mustakabali wa demokrasia nchini,
Mtu akitangaza nia asichafuliwe bali kura ndio zitaamua, kwani Mbowe anaonekana kuwa na ushawishi mkubwa kuliko Mbarouk sasa uoga na fitina zinatoka wapi? People lets think out of box.