Hakika chadema ina wenyewe yani mtu kapata mpinzani wametngeneza story kuwa katumwa.Asante Kamanda Tumaini MakeneHawa Magamba wataumbuka sana kipindi hiki kwakua wanacheza na Mpango wa Mungu Chadema ni mpango wa Mungu . Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora Kansa Mbarouk amejiuzulu nafasi zake zote ndani ya CHADEMA na kutangaza kuwa sasa anaenda kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Taifa.... Hatua hiyo ya kushtukiza imemtia kiwewe mh Mbowe pamoja na kundi lake ambao hivi sasa wanahaha kumchafua kansa... wanatumia mitandao ya kijamii, nafasi zao za uongozi ndani ya chama na marafiki zao mbalimbali lakini mbaruk kwa jinsi anavyokubalika atashinda...
Twende na Mbaruk
Na kwa nini aachie ngazi zake zote ? kwani kuna baya gani kugombea ngazi ya taifa na huku ukiwa bado una nyadhifa zako za ngazi ya chini ? huyo nashawishika kuamini kuwa ni mamuliki
Msome Makene utagundua kuwa ni kosa la jinai kwa mwanachadema kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti na huyu ameshaitwa msaliti na katumwa na bila shaka tunasubiri press conference kuoneshwa mkakati wake.......Wewe mbona hujui hata kutunga uongo!?
Yaani uripoti tukio wewe ambalo ni jipya kwa wengine na hapohapo useme kuna watu wanamchafua!?
Mnadhihirisha jinsi mnavyoweweseka na uimara wa Chadema..
Kufanya hivyo amevunja kanuni gani ndani ya chadema?
Kwanini mnamuabudu Mbowe kiasi hiki mnataka kuonesha kila mtu ni msaliti?
Mbowe ni malaika?
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora Kansa Mbarouk amejiuzulu nafasi zake zote ndani ya CHADEMA na kutangaza kuwa sasa anaenda kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Taifa.... Hatua hiyo ya kushtukiza imemtia kiwewe mh Mbowe pamoja na kundi lake ambao hivi sasa wanahaha kumchafua kansa... wanatumia mitandao ya kijamii, nafasi zao za uongozi ndani ya chama na marafiki zao mbalimbali lakini mbaruk kwa jinsi anavyokubalika atashinda...
Twende na Mbaruk
Lakini ufahamu kuwa,ndani ya chadema hakuna mtu anayekatazwa kugombea chama kwa kuzingatia siasa za hapa Tanzania,na kwa kuzingatia migogoro inayoletwa na kuviua vyama tegemeo afrika,chadema itazingatia wasifu wa mgombea,utendaji wake,katika utaratibu wa teamwork,uwezo wa kukilinda na kukipigania chama.Msome Makene utagundua kuwa ni kosa la jinai kwa mwanachadema kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti na huyu ameshaitwa msaliti na katumwa na bila shaka tunasubiri press conference kuoneshwa mkakati wake.......
Muulize huyo Mwenyekiti wako jana alienda Nzega na gari ya Mwigamba kama nani na juzi Igunga alikuwa na gari ya Mwigamba walilala hoteli moja , ni Mwenyekiti wa Chadema huyo ama ACT ? Muulize kikao chake na viongozi wa Bukene kilikua na malengo gani?Jamani Mbarouk ni mwenyekiti wangu wa CHADEMA mkoa wa Tabora, mbona mnamuita mamluki wakuu kisa kutangaza nia, Tumaini Makene na wenzako jiangalie sana kuvumisha hizi habari za bila utafiti sio vizuri kabisa kwa mustakabali wa demokrasia nchini,
Mtu akitangaza nia asichafuliwe bali kura ndio zitaamua, kwani Mbowe anaonekana kuwa na ushawishi mkubwa kuliko Mbarouk sasa uoga na fitina zinatoka wapi? People lets think out of box.
Kwani kansa anatokea kaskazini mpaka awe chairman.naona amekurupuka bila kujua sheria za uchaguzi za uenyekiti Wa Cdm
Hakika chadema ina wenyewe yani mtu kapata mpinzani wametngeneza story kuwa katumwa.
Sasa mtajuaje huyu hajatumwa? hamtaki mpinzani kwa mwenyekiti?
Nini maana ya chama cha demokrasi? uchaguzi huu wa nini?
Conspiracy theory............Wanasiasa ni watu hatari sana,inahitaji akili za ziada kung'amua hila zao,mh hii ACT ni kweli tawi la CCM au ni project maalum ya wahuni flani waliopo Kwenye vyama vya Upinzani ili kuweka mikakati yao ya kubakia madarakani hai.Ila ninaamini ni kweli ACT si chama cha kweli Upinzani isipokuwa tu napata tabu kumjua mmiliki wa kweli wa ACT ni nani.Mbona Zitto ana sita kujiunga nacho kwani ameona nini pale ambacho wengi wetu tumeshindwa kukiona?ACT imeanzishwa na wakati huo huo viongozi wa CHADEMA taifa wanatangaza tarehe ya uchaguzi ngazi ya taifa,am simply connecting the dots here.Anyone who will announce to contest against the chairman will immediately be associated with ACT,as simple as that.
Kwanini mkasirike kwaninmgombea wenu ni wa kurithi ni vyema mkajipambanua kuwa uongozo wenu ni wa kurithishana na siyo kuanza kumletea zengwe na masimango mwanachama wetu
Mungu msaidie afike salama kwenye safari aliyo ianza.
Hakika atajuta kutangaza viita na Bavicha.....
Huyu mzee namuonea huruma maana atafukuzwa
mkuu tangu asubuhi tulisema CHADEMA UKIJARIBU KUCHUKUA FORM YA UENYEKITI wewe ni msaliti,utatengwa,utasemewa mengiHakika chadema na wewe ni wakurupukaji kabisa yani mtu kupata mpinzani ndio msaliti na ametumwa?
Mtajuaje kama aliyechukua fomu si msaliti?
Hakika chadema ni chama cha kijinga sana na cha waropokaji, hivi si ruhusa kumpinga mwenyekiti?
Hivi uongozi huo ni kwaajili ya MBOWE?
Hivi kwanini mnabinya demokrasia namna hii?
Hivi mbowe MUNGU WENU?
Hivi ni nani siyo msaliti ndani ya chadema?Kwa misingi hii hakuna atakaye chukua fomu kumpinga Mbowe kwa kuhofia kuitwa msaliti.
Chadema ujinga mtaacha lini?
cc MSALANI Ritz masai dada Lizaboni Hot Lady