Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Mm naona anaenda nje ya hoja za msingi na hii ndio tatizo la mbowe masuala ya bunge la katiba ni kule kule c huku hapa tunataka alete nondo za maana,ninacho kiona hapa malumbano matupu tuu
Kama ulisikiliza hotuba ya Pinda jana usingesema haya!
 
Wakazi wa Mbagala wanahitaji kuwa wilaya kama UKAWA wanavyoihitaji Tanganyika. Mbowe kawakejeli. Haoni kuwa anajikejeli na yeye mwenyewe?

Kwa hiyo na wewe unajikejeli mwenyewe unapomkejeli Mh Warioba na sisi wananchi tunaotaka Taifa letu la Tanganyika?
 
Jana waziri mkuu aliwasilisha budget yake. Sasa leo ni zamu ya Mbowe kuwasilisha budget mbadala. Vitu vyote anavyo ongea vinasimamiwa na ofisi ya waziri mkuu. So hajatoka nje ya mada. Yuko sahihi.

Wewe ndio umenijibu shikran I got it now
 
CCM tunaweza kufanya jambo bila nyie mburulaz wa upinzani. Ila Nyie Hamuwezi kufanya jambo bila ya serikali ya CCM

Na hakuna NCHI waliyowekewa CCM tu.Tanzania yetu sote asiye nachama mwanaCCM na Mpinzani.Hakuna mahali ambapo ukiwa mpinzani unavunja katiba ya nchi,,ila ukibagua watu kulingana na ITIKADI zao unatenda kosa la jinai na unavunja Katiba na sheri za nchi.

Wewe sasa ndiyo unayevunja katiba ya nchi,na ndiyo maana Mbowe kasema ukweli,wanachama wa CCM wanapowatukana wapinzani na hata kuhutubia ubaguzi wa ukabila na rangi za watanzania viongozi wananyamaza,sasa tuliokuwa hatuamini tunaanza kuamini,viongozi wa kuu wa nchi wanawatuma kufanya hayo,wangekuwa hawatumi wangewapiga marufuku.

Siyo lazima mpaka Mtume/Yesu au Malaika aje awaambie myatendayo si mema ndiyo mtaacha.Tupo sawa wote tunahitaji haki ya kuamini na kufuata chama tunachokipenda.Leo uko CCM kesho utahama uende upinzani hapo ndipo utajua maana yake nini kuwa mpinzani.

ALichosema Generali Ulimwengu nimeamini hampendi kuwe na diologue,mara zote mnataka kushinda kwa nguvu tu.
 
Kwa hiyo na wewe unajikejeli mwenyewe unapomkejeli Mh Warioba na sisi wananchi tunaotaka Taifa letu la Tanganyika?
Unajua ukizoea kukejeli, basi uvumilie na kukejeliwa. Mbowe anawakejeli watu wa Mbagala ila alivyokejeliwa yeye na Warioba wake wakasusa bunge
 
Nadhani huyu The Listener hajanielewa nimesema serikali za Mitaa ziko ofc ya Waziri Mkuu na chaguzi za mitaa ziko ofc hiyo kwa hiyo kujadiliwa daftari la wapiga kura hajaenda nje ya mada
Great thinkers wapya hao wasikupe shida, ndo kwanza wanaanza kufuatilia bunge.
 
Kuna majitu yamegeuza midomo yao kuwa sehemu ya mwisho ya utumbo mpana.
Dah! Mkuu, ndo umeandika nini? Kuna wabunge wa UKAWA unawalenga kwa kauli yako hiyo. Wengine ni wanaume lakini wamehiari kuwa wanawake
 
budget ya offisi ya waziri mkuu inahusisha udget ya uandaaji wa katiba. KATIBA! mwana siasa makini akifikishwa hapo anatake advantage na kusema yote! We hujiulizi kwa nini spika amwachie tu aendelee kama anatoka nje ya hoja?

Kweli ndugu yangu hilo nilijiuliza
 
Kweli mwenye Masikio amesikia mweshimiwa ametoa hutuba safi sana Magamba yana tetemeka
 
Humu ndani kunakunguni wengi sana! Mtoa post Katiba inazungumziwa Bungeni kwasababu bajeti husika haiwezi kupitishwa mahala pengine isipokuwa Bungeni pekee.

BACK TANGANYIKA

Unaweza kuchangia tu hata kwa busara na ukaeleweka pia bila dhihaka ndugu
 
Huyu naye awe Waziri Kamili! Kwanza huyu Silinde yumo kwenye list ya Mawaziri kivuli watakaotemwa

Sijui kwanini ukishakuwa MwanaCCM akili yako inahamia katikati ya m.s.a.b.u.r.i?Mbona Mwigulu Nchemba,Umy Mwalimu na Juma Nkamia ni mawaziri?
 
Dah! Mkuu, ndo umeandika nini? Kuna wabunge wa UKAWA unawalenga kwa kauli yako hiyo. Wengine ni wanaume lakini wamehiari kuwa wanawake

Ulichokiandika wewe ni maalumu kwako na wote wanaokuhusu.
 
Nasema sisiemu waache uhuni wao unamwisho na mwisho wao mbaya. Waache kuchezea akili za watz
 
Anamchana Kikwete na Ccm kwanba ktk kundi la 201 ameteua wajumbe 161 ambao ni makada na viongozi wa Ccm.

Anasema bajeti ya mchakato wa katiba haiawahi kujulikana bungeni ktk bajeti ya mwaka jana na hii.

Anasema UKAWA hawatarejea kushiriki kupitisha hila za Ccm.

Updates: Anamchana makamu wa pili wa Zanzibar kwa maneno yake kwamba Jussa si raia kwa vile ana asiri ya kihindi.

Anasema Ccm wanaendeleza kauli za kibaguzi na matusi kwa viongozi wa upinzani bila kujali nchi inaweza kuingia kwenye machafuko

Updates: Anatabiri nchi kuingia kwenye machafuko mwakani ikiwa uchaguzi utafanyika chini ya katiba hii.

Amemaliza anakuja Silinde

Anasema hawatakubali daftari jipya kama halitawashirikisha kutoa maoni yao.

Updates: Anasema pamoja na Waziri mkuu kulitangazia taifa kutofanyika mwaka huu kambi ya upinzani inajua kwamba maandalizi ya uchaguzi unaendelea.

Updates:
Anasema tume ya uchaguzi inashirikiana na Ccm kuhujumu wananchi kukosa haki ya kupiga kura.

Anasema Ccm inasajiri wapiga kura kwa kificho na inafanywa na mabalozi wa Ccm wala si NIDA au tume ya uchaguzi

Updates:
Anasema kuna mchakato unaendelea wa Biometric na mpango huo ni wa kifisadi maana unafanywa na vigogo wa serikali na familia zao
Updates:
Kuna hali ya hatari ilitangazwa Mtwara na haikutangazwa na rais na inawabana wapinzani kufanya siasa huko lakini Ccm inaruhusiwa!

Anasema Ccm wanasema serikali 3 ni gharama wanataka kutangaza kata ya Mbagala kuwa Wilaya!

Updates: Anaichana TBC kwa kukutisha matangazo wakati Lissu akisoma maoni ya wachache BMK. Anasema wana taarifa waziri wa habari ndo alitoa amri ya kukatisha matangazo

Upadets:
Anamchana Muhongo kwa kauli yake kwamba watanzania wanapaswa kuwekeza kwenye juice kwamba ni kauli ya dharau na alipaswa kuwajibishwa.

Chadema badala ya kuzungumzia mambo muhimu ya maendeleo ya nchi wao wanaendekeza mipasho. Haya mambo ya kuchanana ni mambo ya kwenye taarab.
 
Na yale macho huwa anaona?


Machafuko akapeleke kwao Hai
 
yaani hauoni cha maana anachozungumza? we ile budget yote ya Bunge maalum la Katiba kumbe hata haija idhinishwa na Bunge la JMT, gharama kubwa lakini hakuna kinachofanyika, mabilioni ya hela mengi yanapotea bila hata ya budget...

au we hoja zako za msingi ni zipi?
ndg usipoteze muda kulumbana na mjinga,utaumiza kichwa bureeee
 
Back
Top Bottom