Wewe unawatetea hawa walioshindwa kimaisha? Wakimbie basi na hili bunge. Hakuna wa kuwabembeleza
ndg usipoteze muda kulumbana na mjinga,utaumiza kichwa bureeee
Teh teh teh ni kweli kabisa mkuu na hilo jitu ni bonzongo mmoja anajiita Lizaboni
Watanzania tumeamka, tumechoka kufanywa wenda wazimu, kwa sasa tupo tayari kwa lolote, hii nchi siyo ya ccm, time will tell.
Full nondo aisee
Namsikiliza hana hoja na maneno tuu ivi hajui kuwa tumechoka na maneno ya kutisha tisha hakuna watoto hapa,
Mara watasusia uchaguzi hawa jamaa wanaakili ya uchaguzi tuu yaani madaraka ndio ajenda vichwani mwao na hawana jipya watakalolifanya fursa kama ndio hizi basi tumechemka
Mbowe hana jipya kabisaa na ndio kukaribisha malumbano maana anaowaataki hawawezi kukaa kimya watajibu kwann asiende kwenye hoja kama za msingi ni uchaguzi madaraka
Mie sihitaji uwaziri Kivuli. Nahitaji kuwa Waziri Mkuu au Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kama hana jipya mbona
umepaja cha kuandika? tatizo la nyinyi watoto wa ccm mnaishi kwa
kutumia akili za wengine.huwezi elewa kitu.
Ningekuwa na kituve cha BAN ningemchapa life ban kiumbe huyo, ni shida sanaa.
Ccm hakuna wa kujibu hoja,Ila tunGojee Matusi ya nguoni Toka kamati ya vigelegele ya ccm
Mbavu zangu jamani!!!!!!!
Sawa mkuu kwahiyo mgamba hawawezi kutumia ila wapo wachache wanatumia.Tatizo sio kununua ila kutumia. Unajua kipimo kingine cha viongozi ni jee wanaweza kwenda na technology za kisasa?
Sent from my iPad using JamiiForums
Kwani mgamba yanashidwa kununua IPAD .?!?😕