Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Mm naona anaenda nje ya hoja za msingi na hii ndio tatizo la mbowe masuala ya bunge la katiba ni kule kule c huku hapa tunataka alete nondo za maana,ninacho kiona hapa malumbano matupu tuu

we bado mtoto maneno ya wakubwa huwezi yajuwa yote kaja kutangazia wananchi kuwa hawarudi bungeni adi ccm
waache ujinga wa kuongea mipasho kwenye bunge la katiba bwana mdogo mwanasiasa makini anapo pata nafasi kidogo
tu hutakiwa kuitumia kujibu mambo ambayo haja yajibu !! jifunze kutafakari acha uzuzu wa ccm :embarassed2:
 
hivi ili bunge la katiba, la uchaguzi au la bajeti, mbona mh. mboye ajazungumzia kabisa kuhusu BAJETI, NAMSIKIA AKIZUNGUMZIA DAFTARI LA WAPIGA KURA NA KATIBA TUU,, AU NI UELEWA WA BAJET HANA COZ BAJET NDIO MAISHA YETU HUKU MTAANI,
 
mpk Mimi sijaelewa mambo ya katiba yamefikaje hapo juu ya kinachojadiliwa??
 
Last edited by a moderator:
hivi ili bunge la katiba, la uchaguzi au la bajeti, mbona mh. mboye ajazungumzia kabisa kuhusu BAJETI, NAMSIKIA AKIZUNGUMZIA DAFTARI LA WAPIGA KURA NA KATIBA TUU,, AU NI UELEWA WA BAJET HANA COZ BAJET NDIO MAISHA YETU HUKU MTAANI,

kaaa kimya bunge la bajeti linaanza alhamisi. wewe mburula kwelikweli.
 
Tume ya taifa ya uchaguzi ipo chini ya waziri mkuu, uchaguzi wa serikali za mitaa upo chini ya waziri mkuuu
 
Namsikiliza hana hoja na maneno tuu ivi hajui kuwa tumechoka na maneno ya kutisha tisha hakuna watoto hapa,
Mara watasusia uchaguzi hawa jamaa wanaakili ya uchaguzi tuu yaani madaraka ndio ajenda vichwani mwao na hawana jipya watakalolifanya fursa kama ndio hizi basi tumechemka

Mbowe hana jipya kabisaa na ndio kukaribisha malumbano maana anaowaataki hawawezi kukaa kimya watajibu kwann asiende kwenye hoja kama za msingi ni uchaguzi madaraka
 
hebu weka hizo hoja za msingi anazotakiwa kuzijadili? au anaongea kitu ambacho hupendi kukisikia?
 
Freeman Mbowe:"Kama tukienda kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 bila Katiba mpya tutaliingiza taifa katika mgogoro na machafuko"
 
Yaani hakuna bajeti iliyopitishwa kwa ajili ya kazi za bunge maalum la katiba?.sasa wajumbe na kazi nyinginezo zinalipiwa kutoka fungu gani??..
 
hivi ili bunge la katiba, la uchaguzi au la bajeti, mbona mh. mboye ajazungumzia kabisa kuhusu BAJETI, NAMSIKIA AKIZUNGUMZIA DAFTARI LA WAPIGA KURA NA KATIBA TUU,, AU NI UELEWA WA BAJET HANA COZ BAJET NDIO MAISHA YETU HUKU MTAANI,

CCM Bwana kwa matusi hamjambo! Eti Mhe. Mboye! Hivi wewe M/kiti wako Mhe. Kikwete akiandikwa jina lake bila kuweka "K" ya katikati utafurahi kweli? When you're living in a stone house don't throw stones.
 
Freeman Mbowe:Kauli ya wana CCM kuwa Jussa sio raia ni ya kibaguzi na inapaswa kulaaniwa maana inajenga chuki"
 
Kwani mgamba yanashidwa kununua IPAD .?!?😕

Tatizo sio kununua ila kutumia. Unajua kipimo kingine cha viongozi ni jee wanaweza kwenda na technology za kisasa?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Namsikiliza hana hoja na maneno tuu ivi hajui kuwa tumechoka na maneno ya kutisha tisha hakuna watoto hapa,
Mara watasusia uchaguzi hawa jamaa wanaakili ya uchaguzi tuu yaani madaraka ndio ajenda vichwani mwao na hawana jipya watakalolifanya fursa kama ndio hizi basi tumechemka

Mbowe hana jipya kabisaa na ndio kukaribisha malumbano maana anaowaataki hawawezi kukaa kimya watajibu kwann asiende kwenye hoja kama za msingi ni uchaguzi madaraka

Kwani CCM hampendi MADARAKA?Kama hampendi MADARAKA kwanini hilo daftari leo vigumu kulirekebisha?Kwanini kusiwe na tume huru ya uchaguzi?Na kwanini kusiwe na mazingira mazuri ya upigaji kura wa haki na uhuru?

Na hakuna chama chochote cha siasa kisichotaka kushika dola,ndiyo maana hata CCM inatumia kila njia ili kujiwekea makao ya milele.Wanasema chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.Na ajionaye amesimama aangalie aisanguke.Na ya Mwisho aliyejuu mfuate huko huko,ukisubiri anaweza asirudi chini.Hivyo waacheni wapinzani wawafuate hukohuko juu.
 
Hizi chuki za Mbowe na CHADEMA kwa wakazi wa Mbagala ni hatari sana. Eti anasema kuwa Mbagala ambayo ni kata inapendekezwa kuwa Wilaya. Kwani Hai ambayo wilaya yake inalingana na Mbagala?
 
mkuu embu niambie nini ameongea hapo cha maana, sana anajitetea kutoka kwao nje, anasema daftari la wapiga kura liboreshwe kama rasimu ilivyoelekeza chakushanga ambikiikimbia rasimu sasa hayo mapendekezo nani atayatetea tena????[/QUOTEImewaumeni sana kawachaneni na tbccm yenu
 
Freeman Mbowe:Kauli ya wana CCM kuwa Jussa sio raia ni ya kibaguzi na inapaswa kulaaniwa maana inajenga chuki"
Jussa mwenyewe ni mbaguzi, kwa nini asibaguliwe? Mbowe amekosa weledi kabisa
 
Back
Top Bottom