Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Ili mbaki peke yenu mfisadi nchi vizuri. Jamani CCM hamna huruma na uzalendo na nchi hii? Mnafundishwa la kufanya ili nchi isonge mbele mnatamani watoke nje? Nina wasi wasi na nautilia mashaka uraia wako

Natamani wakati ufike wa kuchangia ili tuwagonge hawa UKAWA mpaka wasuse bunge ka bajeti tubaki CCM tunaandaa bajeti yenye tija kwa taifa. Hawa UKAWA wanatupotezea muda tu
 
Freeman Mbowe:Kauli ya wana CCM kuwa Jussa sio raia ni ya kibaguzi na inapaswa kulaaniwa maana inajenga chuki"

Kamua baba kamua baba, lete ma-updates tuelewe kinachojiri
 
Aisee Upinzani hoyeeeee, weka dawa malaria Sugu ya CCM wapeni Artequine sasa maama cloroquine ilishindwa. Hakika Mbowe na viongozi wake au wanachadema ni neema ya pekee Mungu ametupatia kukomboa taifa hili. Najua pro CCM leo mtahamia uzi huu ila tafadhali sana tuache uchama tuwe objective ili kuokoa jahazi la Tanzania linazama. Bravo Mbowe, Bravo Silinde, Bravo uongozi wa CDM, bravo wanachama na wafuasi wa CDM. Mimi ni mpenda maendeleo na kuona nchi hii inakaa sawa maana sasa tumepotea.
 
Ili mbaki peke yenu mfisadi nchi vizuri. Jamani CCM hamna huruma na uzalendo na nchi hii? Mnafundishwa la kufanya ili nchi isonge mbele mnatamani watoke nje? Nina wasi wasi na nautilia mashaka uraia wako
CCM tunaweza kufanya jambo bila nyie mburulaz wa upinzani. Ila Nyie Hamuwezi kufanya jambo bila ya serikali ya CCM
 
Naishi Mtaa wa Kibulang'oma, Kata ya Lizaboni, Wilaya na Manispaa ya Songea Mjini, Mkoa wa Ruvuma, nchi ya Tanzania

Kumbe ndiyo maana una akili kama za Cpt Komba!
 
Natamani wakati ufike wa kuchangia ili tuwagonge hawa UKAWA mpaka wasuse bunge ka bajeti tubaki CCM tunaandaa bajeti yenye tija kwa taifa. Hawa UKAWA wanatupotezea muda tu

Ndugu yangu Tanzania yetu sote,siyo ya CCM tu hata sisi wapinzani tunahaki ya kutetea kile tunachokiamini.Mkubali tushindane kwa hoja na si kwa matusi mnayofanya na Spika anakubali vitu kama hivyo.

Kipindi hiki tunahitaji bunge lenye nidhamu,tunawalipa kodi zetu,na kodi hizi hazichagui zimlipe nani mbunge wa CCM au wa Upinzani.
 
Bora mie ninayewatetea mafisadi kuliko wewe unawatetea wapora wake za watu, wazinzi na mawakala wa shetani
Mbona unazungumza bila kufikiri jamani hv hata Kama ni ushabiki kweli nchi hii itafika?
 
Ndugu yangu Tanzania yetu sote,siyo ya CCM tu hata sisi wapinzani tunahaki ya kutetea kile tunachokiamini.Mkubali tushindane kwa hoja na si kwa matusi mnayofanya na Spika anakubali vitu kama hivyo.

Kipindi hiki tunahitaji bunge lenye nidhamu,tunawalipa kodi zetu,na kodi hizi hazichagui zimlipe nani mbunge wa CCM au wa Upinzani.
Wewe unawatetea hawa walioshindwa kimaisha? Wakimbie basi na hili bunge. Hakuna wa kuwabembeleza
 
Naishi Mtaa wa Kibulang'oma, Kata ya Lizaboni, Wilaya na Manispaa ya Songea Mjini, Mkoa wa Ruvuma, nchi ya Tanzania

mbunge wenu si ndo yule mchumia tumbo au ndo wewe mzee wa msituni nenda uone unafikiri PEAR atakufuata ?
 
Kuna majitu yamegeuza midomo yao kuwa sehemu ya mwisho ya utumbo mpana.
 
Back
Top Bottom