Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

mwambieni akimaliza aitupie hapa ili tusambaze kwa wan ukombozi
 
Nchi itaingia kwenye machafuko!
Mbowe mekuwa kichaa kama Lissu. Nacho hii ingia kwenye machafuko kwake ni sherehe ili ajiamishe na familia yake Dubai, maskini waathirike na vita.
 
Nchi itaingia kwenye machafuko!
Mbowe mekuwa kichaa kama Lissu. Nacho hii ingia kwenye machafuko kwake ni sherehe ili ajiamishe na familia yake Dubai, maskini waathirike na vita.

tumia akili sio unaropoka tu,umepata kusikia kauli ya Lukuvi na Komba?
 
hivi ili bunge la katiba, la uchaguzi au la bajeti, mbona mh. mboye ajazungumzia kabisa kuhusu BAJETI, NAMSIKIA AKIZUNGUMZIA DAFTARI LA WAPIGA KURA NA KATIBA TUU,, AU NI UELEWA WA BAJET HANA COZ BAJET NDIO MAISHA YETU HUKU MTAANI,

Hivi ni mambo gani kayazungumza waziri mkuu WA Tanganyika ambayo yako nje ya alichowasilisha Freeman Mbowe?
 
wanatuambia jusa ni mhindi mbona rostam na shivji hawatuambii au kwa sbb ni wapiga debe wao
 
Ccm hakuna wa kujibu hoja,Ila tunGojee Matusi ya nguoni Toka kamati ya vigelegele ya ccm

mkuu nimecheka sana kamati ya vigelegele ya ccm..nadhani ipo nyingine ya kupinga kila lisemwalo na wapinzani na ipo nyingine ya ndioooo kwa kila jambo lisemwalo na ccm hata kama ni matusi kwa wananchi....mwaka huu ni mchungu kwa ccm.wameanza kuwarisha watoto wao vyeo kuficha maovu yao
serikali inayowekeza kwa viongozi pekee kwa kuwapatia magari ya anasa na marupurupu kibao huku watoto wakikosa madawati na vitabu na huduma muhimu za msingi ni serikali corrupt na isiotakiwa..viva Mbowe
 
hivi lile gari la KUB lililokamatwa mombasa liko wapi?
 
Freeman Mbowe:"Kama tukienda kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 bila Katiba mpya tutaliingiza taifa katika mgogoro na machafuko"

Warudi bungeni vinginevyo katiba iliyopo itatumika bila shida.
 
hivi ili bunge la katiba, la uchaguzi au la bajeti, mbona mh. mboye ajazungumzia kabisa kuhusu BAJETI, NAMSIKIA AKIZUNGUMZIA DAFTARI LA WAPIGA KURA NA KATIBA TUU,, AU NI UELEWA WA BAJET HANA COZ BAJET NDIO MAISHA YETU HUKU MTAANI,

mmmh hv hujui ofisi ya waziri mkuu inashughulika na mambo gan au budget is all about figures.....hahahahaha
 
Mie sihitaji uwaziri Kivuli. Nahitaji kuwa Waziri Mkuu au Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

hahahahahahahaha..........rudia tena lizabon.......kwikeikwikwiiii....ckulaumu hata kidogo aliyeko magogon kafanya urais kiwe kitu cha kila mtu aiseeeee
 
Wadau kwakwel ishu ya Bunge la bajet kiukwel ni kutimiza wajibu,hawa jamaa hawafanyi la maana wanatuzingua,na wanajadili kisichokuwepo,wanapokuja na bajet mpya wawe pia wanakuja na mrejesho juu ya kile kilichofanywa na bajet iliyopita
 
Budget inaendana na sera sasa yeye yuko kwenye sera kwanza na ubovu wake.


Sent from my iPad using JamiiForums
Vijana tuwe tunawaza maili nyingi mbele ili nchi iende..hata oongee bajneti kiasi gani kama kuna mambo hayajakaa sawa kisiasa, kijamii inakua shida sana...kwa hiyo mbowe anachofanya ni kuwaambia wenye serekali kuweka basement kwanza alafu ndo unajadili maendeleo..
 
Back
Top Bottom