Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Namsikiliza hana hoja na maneno tuu ivi hajui kuwa tumechoka na maneno ya kutisha tisha hakuna watoto hapa,
Mara watasusia uchaguzi hawa jamaa wanaakili ya uchaguzi tuu yaani madaraka ndio ajenda vichwani mwao na hawana jipya watakalolifanya fursa kama ndio hizi basi tumechemka
Mbowe hana jipya kabisaa na ndio kukaribisha malumbano maana anaowaataki hawawezi kukaa kimya watajibu kwann asiende kwenye hoja kama za msingi ni uchaguzi madaraka
hoja ni bajeti ya ofisi ya waziri mkuu.hayo anayoyaongea Mbowe yote yapo chini ya wizara hyo..Sasa kusema hujaona hoja sio kweli.wewe ndo huelewi kabisa mambo