Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Mbowe anaunguruma bungeni muda huu!

Freeman Mbowe:Waziri Muhongo alipaswa ama kujiuzulu au kufukuzwa kazi kwa kauli za kuwabeza wawekezaji wa ndani"
 
mpk
Mimi sijaelewa mambo ya katiba yamefikaje hapo juu ya
kinachojadiliwa??

Humu ndani kunakunguni wengi sana! Mtoa post Katiba inazungumziwa Bungeni kwasababu bajeti husika haiwezi kupitishwa mahala pengine isipokuwa Bungeni pekee.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Freeman Mbowe:Waziri Muhongo alipaswa ama kujiuzulu au kufukuzwa kazi kwa kauli za kuwabeza wawekezaji wa ndani"
Nadhani una matatizo ya kurekodi. Anayeongea sasa ni Silinde na si Mbowe
 
Huyu Silinde naye anafaa kweli kuwa waziri kivuli?

wewe utaendelea kukesha humu Jf kama popo kuwatete mafisadi kwa ujira mdogo lakin Silinde ni Mbunge na anawakilisha wananch zaidi ya milion moja" ww hata kuwakilisha familia yako huwezi.
 
huyo mwananchi kachemka na wala hajui taratibu za nchi hii zinakwendaje. Serikali za mitaa ziko chini ya owm sasa yeye hata hilo halijui? Ama kweli asiyelijua neno haambiwi neno

Great thinkers wapya hao wasikupe shida, ndo kwanza wanaanza kufuatilia bunge.
 
Natamani wakati ufike wa kuchangia ili tuwagonge hawa UKAWA mpaka wasuse bunge ka bajeti tubaki CCM tunaandaa bajeti yenye tija kwa taifa. Hawa UKAWA wanatupotezea muda tu
 
wewe utaendelea kukesha humu Jf kama popo kuwatete mafisadi kwa ujira mdogo lakin Silinde ni Mbunge na anawakilisha wananch zaidi ya milion moja" ww hata kuwakilisha familia yako huwezi.
Bora mie ninayewatetea mafisadi kuliko wewe unawatetea wapora wake za watu, wazinzi na mawakala wa shetani
 
kwani kuna wilaya ya mbagala?
Wakazi wa Mbagala wanahitaji kuwa wilaya kama UKAWA wanavyoihitaji Tanganyika. Mbowe kawakejeli. Haoni kuwa anajikejeli na yeye mwenyewe?
 
Bora mie ninayewatetea mafisadi kuliko wewe unawatetea wapora wake za watu, wazinzi na mawakala wa shetani

Jibu hoja za Mbowe sasa, maana mnatuchosha na matusi. Wenye akili wanajibu hoja lakini weye akili ndogo wanaleta vihoja siku zote!
 
CCM ni manyani,tumewachapa bunge la katiba na sasa tunawachapa kwny bajeti.
 
Bora mie ninayewatetea mafisadi kuliko wewe unawatetea wapora wake za watu, wazinzi na mawakala wa shetani

Hao wake wanaoporwa ni magunia au mawe yasiyo na utashi? unaowatetea wewe ni mafisadi wanaoiba mali za watanzania zisizoweza kukataa kuibiwa, wanaiba pembe za ndovu, twiga nk vitu visivyo na utashi, sio wake za watu wenye utashi na uhuru wa kukataa kuibiwa, halafu unajisifu au kwenu magamba wanawake sio watu ni vitu tu kama vile gunia au jiwe?
 
Back
Top Bottom