Mbowe anaisha jamani

Mbowe anaisha jamani

Kumbe umesimuliwa . Huyu jamaa nae ni kama mgeni mahabusu au hajawahi kushtakiwa.
Mm sion kuisha kwake hapo. kitu ambacho mbowe anacho over wengine ni self control.. ability of staying calm in the middle of chaos.
Ingekuwa mtu mwingine angebaki mbavu mbili. Huyu alikuwa prepared..

Tuongee ukweli
Hii picha ni wazi kabisa inafikirisha sana
Tuache kujitutumia kisabuni
Tumetikiswa

Kuna jamaa anasimulia...alitoa machozi akiomba moja ya kilevi ili nguvu na akili zikae sawa

Kama ni kweli basi picha hii inathibitisha kitu fulaniView attachment 985402

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japokuwa umejibu kishabiki lakin nikwambie tu tofauti ya yule muind na mbowe ni kwamba mbowe alijiandaa.. alishajiandaa since ukiwa mpinzan nchi hii.. mahabusu ni kama sehem ya kutembelea.. so unakuwa tayari muda wote.
Muhind yeye alijiaminisha kuwa hata pata hiyo dhoruba, hakujiandaa . Alipokuja kuotewa amekonda ameisha.

Mbowe ndio maana afya haikongoroki. Ananbaki normal. Why? Sababu alishajiandaa kiakili kwa lolote. Ndio maana halimuathiri.
Serikali ya awamu ya Tano inamsaidia kupambana Na ma Cholestral Kama ilivyomsaidia Singasinga wa Escrow ambae alihangaika mpaka kuweka Maputo tumboni kupunguza Tumbo lakin wapiii, Baada ya kukaa Segerea Kwa Muda mfupi tu amekuwa Na Six packs!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiweza kukaa jela siku 30-60 za kwanza kiukweli utakonda kwa mawazo kulingana na maisha uliyozoea kuishi ila baada ya hizo siku kupita ukawa mzima unaizoea hali halisi na utaishi kwa furaha sana kuliko wengi wanaoishi uraiani na chakushangaza hata ile Afya yako iliyodhoofika itakaa sawa na unaweza hata kunenepa ila mwisho wa siku YOTE MAISHA jela zipo kwa ajili ya binadamu leo kwa MBOWE kesho kwako...
 
Jela inapunguza mwili lakini inakujenga sana kiroho, ukijitambua ni pahali pazuri sana pa kutafakari na kupata taswira nzima ya Maisha yako, malengo na mikakati mingine. Ukiachia mbali hisia za binadamu asie na kina na anaeshi bila kanuni, jela sio sehemu mbaya, haswa kwa mwanaharakati wa aina yoyote kwenye Nyanja yo yote ya Maisha sio siasa tu. Kwa hiyo hajapoteza kitu ni shule kwake kama atajitambua na kujikabili badala ya kujionea huruma na kuendekeza hali.
Mkuu jela unayoisema wewe ni jela ya kufikirika tu na kwa sababu huiishi.

Mawazo maridhawa ama yakinifu hauwezi kuyapata ukiwa sehemu isiyokuwa na utulivu.

Shukuru jela za Tz kwa wanasiasa zaweza kufananishwa na sehemu ya anasa kama unavyotaka kutuaminisha wewe.

Kuna jela nimetembelea katika moja wapo ya nchi za kiAfrika, usingelithubutu kujitia moyo kiasi hicho.

Taratibu zake nilizoshuhudia ni kwamba, unapokamatwa, unawekwa mahabusu kituo cha polisi kwa muda kadhaa, kisha kupelekwa mahakamani na ukitoka mahakamani kama haujawekewa dhamana unapelekwa mahabusu ya gerezani kama ilivyo kwetu.

Lakini tofauti ni kwamba, ukiwa chini ya uangalizi wa polisi, kila siku sa2 asubuhi ni lazima kulambwa mboko hamsaishirini ukiwa umelala chini hadi siku utakayotolewa.

Na ukifika mahabusu ya gereza, hata kabla ya hukumu ni lazima utoke kila siku ukafanye kazi, kwani hakuna chakula cha bure gerezani.

Jela si mahali pa utulivu, ni mahali pa mateso ya ama mwili ama saikolojia.

Cha kujadili hapa si kumpongeza kiongozi wetu huyo anavyoendelea kusota ndani, bali ni kutafakari ni jinsi gani ya kupiga vita hizi sheria kandamizi zinazotutesa raia wa Tz, kuziondoa na kumtoa.

Hizi sheria kandamizi zinekuwa zikusumbua sana watu.
Hapo unaochezwa ni mchezo wa kisheria ambao ni kama mchezo wa bao la drafti.

Mpo mchezoni, kila mchezaji anafikiria namna ya kupangua ngome ya hasimu na kulamba kete hadi kingi.

Ndiyo huo mchezo wa kisheria anaochezewa mbowe kwa sasa. Hivi kweli ana kosa la kumswendeka jela siku zote hizo, kama siyo kuchezeana michezo ya kisheria ni nini?

Kinachotakiwa kupigania atoke na sheria dhalilishaji nchi hii zifutwe, zipo kwa manufaa gani ya nani?

Lakini hili la kusema kuwekwa sehemu chafu na kunyea debe ni kupata uzoefu ni ubinafsi wa mtu asiyejua adha na mateso ya jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuongee ukweli
Hii picha ni wazi kabisa inafikirisha sana
Tuache kujitutumia kisabuni
Tumetikiswa

Kuna jamaa anasimulia...alitoa machozi akiomba moja ya kilevi ili nguvu na akili zikae sawa

Kama ni kweli basi picha hii inathibitisha kitu fulaniView attachment 985402

Sent using Jamii Forums mobile app
we mwenyewe mleta uzi maisha unayoishi uraiani ni sawa tu na maisha ya jela
 
Ila ile jela ya lack of communication skills ni ngumu zaidi hasa unapokuwa a public figure.
Hiyo hiyooo.. Kwa kiswahili munaiita ujasiliamali......


[emoji23]🤣[emoji23]🤣[emoji23]🤣🤪🤣🤪🤣[emoji23]🤣[emoji23]🤣🤪🤣🤪🤣[emoji23]🤣🤪🤣[emoji23]🤣🤪[emoji23][emoji23]🤪🤣🤣[emoji23][emoji23]🤣🤣🤪
 
Kwa jinsi ulivyo na majibu ya kuudhi, fanya mpango tukamtembelee jiwe weekend tukamswalike maswali matatu ya kawaida ili asituteke tukiondoka.
.
(1) Kwanini ni muongo (reference alisema 2018 kabla haijaisha atakuwa dodoma) najua atatudanganya sana.
(2) Muda wake ni kama umeisha viwanda vipya hivyo anavyovinadi vimeondoa tatizo la ajira kwa kiasi gani?

(3)Kaajiri watu wangapi toka aingie madarakani wakati huo tutakuwa na takwimu za J.K tena za 2006-2008.
.
Tunamaliza kwa kuchekeana nae weee tunaenda kupiga picha na matausi alafu tunaondoka asije akatu_ben saanane.
Pathetic for J F if Expert member think like this.
 
Jela ya fitna za kisiasa huwa hazimuumizi kabisa mwanasiasa.
 
Back
Top Bottom