Mbowe anaisha jamani

Haise hatari sana,watendao haya siku si nyingi nao wataumia kwa namna nyingine,tena machungu yake yatakuwa ni makali na ya uchungu kizazi kwa kizazi chao na furaha ya kuishi haitakuwepo kwao yeye na uzao wake na mwishoye ataangamia katika uso wa nchi yeye kizazi chake na kundi lake katili,kwani vilindi damu na roho vyote vii taabani vyamlilia kwa sauti iliyo kuu pasipo kuchoka / Aguia nostre maitio namese acabula oh oh oh OMEN.
 
Hata huyo Raisi wenu wa Chama cha ndondi kaamua kupiga Super Blackie ìli kuficha bati.
 
Kwani kukosa mapuchi hakuna madhara??? Ndio madhara yake hao , mwili haufunguk, akili aikai sawa, yaani ni shida na tujifunze sasa ktk Maisha kila zama INA jiwe lake ,zama za ulindi na uwimbombo zimepita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom