Mbowe anaisha jamani

Mbowe anaisha jamani

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2017
Posts
248
Reaction score
329
Tuongee ukweli
Hii picha ni wazi kabisa inafikirisha sana
Tuache kujitutumia kisabuni
Tumetikiswa

Kuna jamaa anasimulia...alitoa machozi akiomba moja ya kilevi ili nguvu na akili zikae sawa

Kama ni kweli basi picha hii inathibitisha kitu fulani
IMG-20190103-WA0004.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuongee ukweli
Hii picha ni wazi kabisa inafikirisha sana
Tuache kujitutumia kisabuni
Tumetikiswa

Kuna jamaa anasimulia...alitoa machozi akiomba moja ya kilevi ili nguvu na akili zikae sawa

Kama ni kweli basi picha hii inathibitisha kitu fulaniView attachment 985402

Sent using Jamii Forums mobile app
Jela inapunguza mwili lakini inakujenga sana kiroho, ukijitambua ni pahali pazuri sana pa kutafakari na kupata taswira nzima ya Maisha yako, malengo na mikakati mingine. Ukiachia mbali hisia za binadamu asie na kina na anaeshi bila kanuni, jela sio sehemu mbaya, haswa kwa mwanaharakati wa aina yoyote kwenye Nyanja yo yote ya Maisha sio siasa tu. Kwa hiyo hajapoteza kitu ni shule kwake kama atajitambua na kujikabili badala ya kujionea huruma na kuendekeza hali.
 
Ila ile jela ya lack of communication skills ni ngumu zaidi hasa unapokuwa a public figure.
Kwa jinsi ulivyo na majibu ya kuudhi, fanya mpango tukamtembelee jiwe weekend tukamswalike maswali matatu ya kawaida ili asituteke tukiondoka.
.
(1) Kwanini ni muongo (reference alisema 2018 kabla haijaisha atakuwa dodoma) najua atatudanganya sana.
(2) Muda wake ni kama umeisha viwanda vipya hivyo anavyovinadi vimeondoa tatizo la ajira kwa kiasi gani?

(3)Kaajiri watu wangapi toka aingie madarakani wakati huo tutakuwa na takwimu za J.K tena za 2006-2008.
.
Tunamaliza kwa kuchekeana nae weee tunaenda kupiga picha na matausi alafu tunaondoka asije akatu_ben saanane.
 
Jela inapunguza mwili lakini inakujenga sana kiroho, ukijitambua ni pahali pazuri sana pa kutafakari na kupata taswira nzima ya Maisha yako, malengo na mikakati mingine. Ukiachia mbali hisia za binadamu asie na kina na anaeshi bila kanuni, jela sio sehemu mbaya, haswa kwa mwanaharakati wa aina yoyote kwenye Nyanja yo yote ya Maisha sio siasa tu. Kwa hiyo hajapoteza kitu ni shule kwake kama atajitambua na kujikabili badala ya kujionea huruma na kuendekeza hali.
Historia imeonyesha viongozi wote waliopata kuweka jela kikandamizi walitoka wakiwa jasiri sana na wengine mpaka ujasiri ukapitiliza mfano Mugabe. Yale aliyowatenda wazungu ni kisasi tuu lakini kikaangusha uchumi.
Mfano hapa atokee stakaye waangsmiza kwa kiasi ccm itakuwaje?
 
Mwana kulitaka mwana kulipewa.

Mbowe ulujifanya mjuaji sana na upo juu ya sheria.Kisa, KUB
Namuonea sana huruma dada E.Matiko
 
Kwa mtazamo wako na akili yako jera ni pahala pazuri pa kuishi?yaani unashabaikia mambo ya kipuuzi namna hii hujui hata wewe kesho unaweza kujikuta upo huko jera?tumieni akili basi
Tuongee ukweli
Hii picha ni wazi kabisa inafikirisha sana
Tuache kujitutumia kisabuni
Tumetikiswa

Kuna jamaa anasimulia...alitoa machozi akiomba moja ya kilevi ili nguvu na akili zikae sawa

Kama ni kweli basi picha hii inathibitisha kitu fulaniView attachment 985402

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli kabisa ndugu nawashangaa hawa vijana eti anafurahia binadamu mwenzake tena asiye na tuhuma za kuvunja nyumba ya mtu wala kuiba kiwembe cha mtu kuteseka jera kwa furaha ya mtu mmoja tu,anyway haya yote yana mwisho
Stories za kusimuliwa unaanzisha Uzi jf... Huu muda ungeomba sera ya nchi ya viwanda itekelezeke ingesaidia jiwe kurudi kwenye mstari

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom