Mbowe anaisha jamani

Mbowe anaisha jamani

Serikali ya awamu ya Tano inamsaidia kupambana Na ma Cholestral Kama ilivyomsaidia Singasinga wa Escrow ambae alihangaika mpaka kuweka Maputo tumboni kupunguza Tumbo lakin wapiii, Baada ya kukaa Segerea Kwa Muda mfupi tu amekuwa Na Six packs!
 
Mwana kulitaka mwana kulipewa.

Mbowe ulujifanya mjuaji sana na upo juu ya sheria.Kisa, KUB
Namuonea sana huruma dada E.Matiko
Kwanini usijionee huruma mwenyewe kwakutotumia critical thinking?Au kwanini usimuonee huruma yule anayezidi kupungukiwa akili kila kukicha?
 
Jela inapunguza mwili lakini inakujenga sana kiroho, ukijitambua ni pahali pazuri sana pa kutafakari na kupata taswira nzima ya Maisha yako, malengo na mikakati mingine. Ukiachia mbali hisia za binadamu asie na kina na anaeshi bila kanuni, jela sio sehemu mbaya, haswa kwa mwanaharakati wa aina yoyote kwenye Nyanja yo yote ya Maisha sio siasa tu. Kwa hiyo hajapoteza kitu ni shule kwake kama atajitambua na kujikabili badala ya kujionea huruma na kuendekeza hali.
Waache vijakazi wa jiwe wakenue meno maana wanadhani watatawala milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu linasikitisha sana labda viwanda kwake ni kuwaandama wapinzani
Kwa jinsi ulivyo na majibu ya kuudhi, fanya mpango tukamtembelee jiwe weekend tukamswalike maswali matatu ya kawaida ili asituteke tukiondoka.
.
(1) Kwanini ni muongo (reference alisema 2018 kabla haijaisha atakuwa dodoma) najua atatudanganya sana.
(2) Muda wake ni kama umeisha viwanda vipya hivyo anavyovinadi vimeondoa tatizo la ajira kwa kiasi gani?

(3)Kaajiri watu wangapi toka aingie madarakani wakati huo tutakuwa na takwimu za J.K tena za 2006-2008.
.
Tunamaliza kwa kuchekeana nae weee tunaenda kupiga picha na matausi alafu tunaondoka asije akatu_ben saanane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni uhayawani kufurahia binadamu mwenzio akipitia kwenye matatizo tena ya kutengenezewa
 
JK alitukanwa sana na wapinzani lakini alisema mtanikumbuka kumbe alijua kuwa yajayo yanafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahah....Usisahau na ile kauli mbiu ya Maisha Bora kwa kila mtanzania..!! wengi hatukujua anamanisha nini nadhani sasa ndio tunapata mstakabali mzima wa ile kauli yake
 
Odinga alikaa jela miaka nane enzi za moi bila hata kosa lolote ndio maisha ya wanasiasa wa kiafrika hakuna ajabu labda ukute hujui historia ya siasa za kiafrika
 
Jela inapunguza mwili lakini inakujenga sana kiroho, ukijitambua ni pahali pazuri sana pa kutafakari na kupata taswira nzima ya Maisha yako, malengo na mikakati mingine. Ukiachia mbali hisia za binadamu asie na kina na anaeshi bila kanuni, jela sio sehemu mbaya, haswa kwa mwanaharakati wa aina yoyote kwenye Nyanja yo yote ya Maisha sio siasa tu. Kwa hiyo hajapoteza kitu ni shule kwake kama atajitambua na kujikabili badala ya kujionea huruma na kuendekeza hali.
Ulishakaa jela ya TANZANIA weye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo mahali panapomstahili maana alipataka mwenyewe mbona wenzie wako uraiani jela mbaya jamani msijipe moyo na ushabiki
 
Back
Top Bottom