Mbowe amtega Kikwete Sherehe za Muungano

Mbowe amtega Kikwete Sherehe za Muungano

Mzee mwanakijiji :kumradhi sana nimeleta jibu wrongly kwako bila kukusudia nilikuwa namjibu mtu mmoja anaitwa wamusoma
--------------------.---------------,
hata mimi nilishangaa sana ! lakini kwa vile umeomba radhi nakushukuru .vita haina macho
 
Wewe ni kiduku kweli, ndio mara yako ya kwanza kuanzisha thread JF?

Umeandika MBOWE amemtaka Rais Kikwete, that means sio maoni tena!

Uchaguzi ni october25 ni dai la katiba wala sio ombi kwa rais mjinga wewe mbumbumbu zero
 
Uchaguzi ni october25 ni dai la katiba wala sio ombi kwa rais mjinga wewe mbumbumbu zero

Kamanda Ilan Ramon Ccm wengi wao wanawaza ufisadi tuu maana hawana wakiwazacho ndio maana wakiona Kasi ya Chadema na wanaona wanaipa Ikulu bye bye wanachanganyikiwa sana
 
Reading your post nimegundua una tatizo la ubongoni bro .Miaka 51 ya Uhuru unategemea kuomba omba ? Makusanyo mnatumia kusafiri ?

nmegundua una tatzo la kutokua na kumbu kumbu au ujinga; sio miaka 51ya uhuru ni 51ya muungano
 
Amtaka atumie hotuba yake leo kuwaambia Watanzania serikali yake watatumia miujiza gani kuhakikisha uchaguzi Mkuu unafanyika mwaka huu kama unavyotakiwa kikatiba.

Amesema Watanzania hawako tayari kusikia hadithi za kusogeza mbele uchaguzi hata wiki moja. Akisema 'jambo hilo halitakubalika, halitakubalika, halitakubalika'

Akielezea mahesabu yanayoibua sintofahamu kubwa kuhusu hatma ya uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, huku akionesha namna ambavyo nchi imegubikwa na giza nene kwa sababu hadi sasa NEC inasua sua kufanya maandalizi ya msingi huku muda ukizidi kuyoyoma .

mbele ya maelfu ya wananchi wa Bukoba waliohudhuria mkutano wa hadhara Uwanja wa Uhuru Platform Mbowe alimtaka Kikwete kuliambia taifa serikali pamoja na NEC watafanya nini ili uchaguzi ufanyike mwaka huu Oktoba 25 mwaka huu Kwa mujibu wa katiba

Mbowe anatutishia sana na red sijui nini yake nani kamwambia uchaguzi utasogezwa mbele?bwanaeeeeh tumechoka kuishi kwa vitisho vya mbowe na anajaribu kutuwini sasa haiwezekani hata kidogo..................!
 
Mbowe anatutishia sana na red sijui nini yake nani kamwambia uchaguzi utasogezwa mbele?bwanaeeeeh tumechoka kuishi kwa vitisho vya mbowe na anajaribu kutuwini sasa haiwezekani hata kidogo..................!
Hakuna anayetishwa ukweli utatuweka huru na kwenye ukweli wongo unajitenga
 
Mbona anawayawaya na kugwayagwaya, atulie tu, agenda setting haitamtoa safar hii.
 
Hana hoja zaidi ya kuwayawaya na kugwayagwaya aeneze chama, au anatafuta kiki ya kutoka front page hahahhaha

Sisi Tumeshatoka sasa hivi soma limeshawaingia Watanzania october tunamaliza mambo michepuko hakuna huku
 
Muungano ni upumbafu mtu mwenye akili haweZi kupoteza muda kufuatilia..bora nikae gesti nipige kavu misude ya kona bar
 
Back
Top Bottom