Mbowe amtega Kikwete Sherehe za Muungano

Wacha ujinga na kutoa kauli ambazo ukiulizwa huwezi kuzifafanua."Kilimchotoa kanga manyoa kitajulikana "
Kijana chunga kauli zako. Wenzako huko Tunduma waliamrishwa kulala saa 4 asubuhi na wakalala. Usijitie ushabiki wa kutoa vitisho utajuta.

Vitisho nivipi hapo? Futuhi haitakubali kamwe
 
Mbowe anadhani Kikwete ni empty headed kama yeye?

Ana mamlaka gani ya kumuamrisha Rais, huyu takataka?
 
Anamamlaka yakutoa maoni yake kama Mtanzania Takataka niwewe unayelala na fisi
Wewe ni kiduku kweli, ndio mara yako ya kwanza kuanzisha thread JF?

Umeandika MBOWE amemtaka Rais Kikwete, that means sio maoni tena!
 
Futuhi haitakubali kamwe. Ukiwa na maana CHADEMA (Futuhi ) haitakubali kamwe. Nasema hivi kwa sababu unajifanya spokesman wanna be wa Chadema.

Ukweli unajulikana mabingwa wa Maigizo ni ccm mzee wa upara anaonekana kila leo kwahiyo hiyo futuhi msifanye October
 
Wewe ni kiduku kweli, ndio mara yako ya kwanza kuanzisha thread JF?

Umeandika MBOWE amemtaka Rais Kikwete, that means sio maoni tena!
Mchwa ni wewe usiyotaka kuelewa kwani unamjua Mh. Mbowe si kiongozi wako wewe unalia nini imekuingia? Yale ya futui msifanye october
 
Mkuu MUSSA jamaa ndio anajifunza kuandika hivyo hajui tofauti kati ya kutoa order mtu afanye kitu (kumtaka afanye kitu) na kutoa maoni. Na bado amejitwishwa u spokesman wannabe wa Chadema.
 
Huyu ni mtu mjinga! achana naye tu Mkuu wangu Ngarna !
 
Last edited by a moderator:
hivi mbowe nae anautaka urais?jamaa ni mweupe sana kichwani zaidi ya ubinafsi na biashara anazozifanya CDM ndo vinampaga uongozi
 
Ndio anaendelea kuwafunga midomo nakuifuta ccm vijijini leo tuko bukoba tunaendelea kufata ccm
 
Mbowe anadhani Kikwete ni empty headed kama yeye?

Ana mamlaka gani ya kumuamrisha Rais, huyu takataka?

Mbowe ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani.Wanachama na wapenzi wengi wa Upinzani ni Vijana na Wasomi tofauti na CCM ambayo Washabiki na wapenzi wake wengi ni Wazee na Wasio na Uelewa.Sasa Vijana na Wasomi wakichokozwa sidhani kama Wazee na Wasio na Uelewa watawamudu.Nashauri CCM ijitahidi kupunguza Safari za Viongozi na Matumizi yasiyo na Tija ili Uchaguzi ufanyike kwa Wakati na Wananchi wachague Kiongozi wao wanayemhitaji.Kikwete alitakiwa kuongoza Miaka Kumi tu na sio zaidi ya hapo.Amani ya Tanzania haikushuka kama mvua,ilitokana na mipango na Uongozi thabiti wa viongozi waliopita hasa Mwl.J.K.Nyerere.Inaweza ikatoweka haraka kama viongozi waliopo wataleta mzaha kwenye mambo mazito kama haya.
 
Siyo rahisi vijana wa ccm wakuelewe maana ufisadi na ccm ni kinyesi na nzi
 
MABADILIKO GANI YATATOKEA?Mbona kila siku mnaota ndoto za mchana humu jukwaan?Halafu unakashifu watu eti STD seven wakati Mbowe mwenyewe ambaye ni kiongoz wako ni form alishindwa mitihani.Yaan huyo form four ndo amwambie JK ujinga wa maandaz?
Ninaona kama STDVII ni jina la aliyekuwa akijibiwa, hakuitwa kwa dharau kama unavyoonyesha kwenye andiko lako. Angalia comment ya pili baada ya Mtoa mada.
 
hivi mbowe nae anautaka urais?jamaa ni mweupe sana kichwani zaidi ya ubinafsi na biashara anazozifanya CDM ndo vinampaga uongozi

Weupe wake kichwani amewakalisha ccm na michepuko yake wanatafutana
 
Back
Top Bottom