Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Amtaka atumie hotuba yake leo kuwaambia Watanzania serikali yake watatumia miujiza gani kuhakikisha uchaguzi Mkuu unafanyika mwaka huu kama unavyotakiwa kikatiba.
Amesema Watanzania hawako tayari kusikia hadithi za kusogeza mbele uchaguzi hata wiki moja. Akisema 'jambo hilo halitakubalika, halitakubalika, halitakubalika'
Akielezea mahesabu yanayoibua sintofahamu kubwa kuhusu hatma ya uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, huku akionesha namna ambavyo nchi imegubikwa na giza nene kwa sababu hadi sasa NEC inasua sua kufanya maandalizi ya msingi huku muda ukizidi kuyoyoma .
mbele ya maelfu ya wananchi wa Bukoba waliohudhuria mkutano wa hadhara Uwanja wa Uhuru Platform Mbowe alimtaka Kikwete kuliambia taifa serikali pamoja na NEC watafanya nini ili uchaguzi ufanyike mwaka huu Oktoba 25 mwaka huu Kwa mujibu wa katiba