Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,252
- 98,257
Vema nae Mheshimiwa ahudhurie Sherehe, mara nyingi hapendi kufika kwenye sherehe za kitaifa kunani
Mh mbowe ni mtu msafi hawezi kuwa sehemu ya wala rushwa na wezi wa rasilimali za nchi na wauza sembe