Mbowe amtega Kikwete Sherehe za Muungano

Baado amjaaibika vizuri jaribuni kufanya futuhi kwenye uchaguzi mkuu ndio kilitomtoa kanga manyoa kitajulikana

Unaitisha serikali?Chunga sana kijana,chunga kauli zako na maandishi yako,usimuige Mh. Mbowe,yule anafanya kazi ya system.
 
Huyu naye mda wote anawaza madaraka tu haoni hata aibu hajawahi kuonesha atawafanyia nini watanzania anawaza madaraka tu.
 
MABADILIKO GANI YATATOKEA?Mbona kila siku mnaota ndoto za mchana humu jukwaan?Halafu unakashifu watu eti STD seven wakati Mbowe mwenyewe ambaye ni kiongoz wako ni form alishindwa mitihani.Yaan huyo form four ndo amwambie JK ujinga wa maandaz?

Hahahaa wa kuzama Na kuibuka ,
Kisha kuliwa,Dah ndazi bwana
 
Huyu naye mda wote anawaza madaraka tu haoni hata aibu hajawahi kuonesha atawafanyia nini watanzania anawaza madaraka tu.
Waliokua madarakani wameonyesha udhaifu tubadilike Chadema ndio Serekali ijayo
 
Naona kuna ukweli fulani juu hizi kauli kwa sababu ukiangalia zoezi lenyewe linavyoendeshwa pole pole unapata shaka na wala huitaji kuwa na ellimu ya kidato cha nne kuweza kubashiri hilo.

Hata wakati serikali ilipo tamka kwamba zoezi la upigaji kura kwa katiba mpya litafanyika April wapo watu walipinga na mwisho wa siku ukweli ukaja kubainika .
 
Atakayeanzisha machafuko Tanzania si mwingine zaidi ya Ccm na serikali yake. Wananchi wamechoshwa na uzandiki na wanakasi kubwa ya kuendeleza nchi. Lakin iccm haina mpango zaidi ya kuhodhi taifa. Ni fikra potofu za wana ccm wanaodhani kwamba Tanzania ni yao na wanahatimiliki ya uongozi hata kama taifa haliwataki.

Kwa utendaji wao mbovu, wamejidelete kwenye database ya uongozi Tanzania lakini wanaota ndoto kwamba, bado wataendelea kutawala kimabavu.

Hivi kinachofanyika ni mkakati makusudi unaolenga kuandaa mazingira ama ya kuiongezea muda ccm kukaa madarakani zaidi ya October ili izidi kurekebisha mipango yao na kukamilisha malengo na mikakati wanayoijua wao. Wanabuy time kwa kuwa wanajua sasa hivi hata wafanyeje hawana ujanja maji yamesha wapwea.

Na haya mtayaona tu mkiangalia kasi ya miswada ya ajabu ajabu kupitishwa kwa hati za dharura bila kujadiliwa na kufukuziliwa kusainiwa eti zitarekebishwa baadaye. Haraka ya nini? Unasaini kitu ambacho kinamakosa tena mengine huyajui. Wewe ni raisi wa nchi!. Hawa watendaji wako, wategemeweje kwenye mikataba na hati mbali mbali wanazosaini kwa niaba ya taifa? Lengo si kuimarisha wala kunufaisha taifa. Bali ni kujipanga upya kwa ccm.

Angalieni hila zilizopo, mara red brigade, eti wako tanzania nzima wanafanya mazoezi na wafungiwe. Kwa mtu mwenye akili timamu, huwezi kurukia red brigade wanaofanya mazoezi ya viungo na ukakamavu in an organized manner, ukawaacha Janjaweed, Green Guards na UVccm ambao licha ya kufanya mazoezi ya ktumia silaha, tayari wameshafanya madhara kwa watanzania na mali zao, tena wakisaidiwa na polisi. Sasa unapooona midomo iko red brigade na kuwaacha hwa wahuni wa ccm, ni dhahiri kwamba ccm inataka kufukia mabonde na kushusha milima ili ipate pa kupita.

Uzandiki na rushwa kwenye uandikishwaji kama ulivyoreportiwa sehemu mbali mbali kwamba vijana wengi wanazuiliwa kuandikishwa kwa kuwa wanafahamika si wa ccm, hatuhitaji alama nyingine ya kutuonyesha ni namna gani ccm wametawaliwa na ubinafsi usio na tija kwa Taifa.

Ninachoshauri, Ccm wakubali kwamba ni watanzania kama wengine. Wakifanya vyema watapata kibali, wakiharibu wataadhibiwa. Na kwamba haki ya kuongoza taifa si yao peke yao bali ni ya Watanzania wote kwa mujibu wa katiba ya nchi na kwamba watanzania wameshawaondoa kwenye orodha ya uongozi wa nchi.

Sasa ili taifa liwe salama, Ccm waache unafiki na wawajibike ipasavyo. Wanalipwa kodi zetu kwa ajili ya hizo kazi na wasijione wanatoa msaada. Vinginevyo hatima yao itakuwa mbay sana.

Kama wanaendelea kkung'ang'ania kwa kiburi na umafia wao ambao umekomaa baada ya kufa kwa nyerere, waondolewe kwa nguvu ya sheria ili ifikapo October, kuwe na serikali lya mpito itakayotuongoza kwenye uchaguzi ambao ccm imeshindwa kuusimamia na kuufanikisha kwa ajili ya ubwenyeye na ubinafsi.

Naomba, macho ya Watanzania yawe makini kwa kila kitu serikali inafanya sasa. Yanaofanyika kwa sasa ni ya kuwakomoa Watanzania, na kujaribu kupanga mikakati ya kuitawaza ccm hata bila ridhaa ay Watanzania kitu ambacho lazima kitaleta machafuko tu hata kabla ya October. Suluhu yake, ccm imeshindwa kulinda katiba ya nchi. Ccm imeshindwa kuongoza taifa, ikae kando kwa amani, tuunde serikali ya mpito ituvushe hapa darajani ambapo Ccm inaonekana kulemewa na kila dalili zinaonyesha, inatubwaga mtoni tuliwe na mamba kabla hatujavuka!
 
Asante sana Kamanda kwa uchambuzi makini
 
Back
Top Bottom