Mbowe amtega Kikwete Sherehe za Muungano

Mbowe amtega Kikwete Sherehe za Muungano

MABADILIKO GANI YATATOKEA?Mbona kila siku mnaota ndoto za mchana humu jukwaan?Halafu unakashifu watu eti STD seven wakati Mbowe mwenyewe ambaye ni kiongoz wako ni form alishindwa mitihani.Yaan huyo form four ndo amwambie JK ujinga wa maandaz?

Badilika ww
 
Wacha ujinga na kutoa kauli ambazo ukiulizwa huwezi kuzifafanua."Kilimchotoa kanga manyoa kitajulikana "
Kijana chunga kauli zako. Wenzako huko Tunduma waliamrishwa kulala saa 4 asubuhi na wakalala. Usijitie ushabiki wa kutoa vitisho utajuta.

Tulia we mganga
 
Amtaka atumie hotuba yake leo kuwaambia Watanzania serikali yake watatumia miujiza gani kuhakikisha uchaguzi Mkuu unafanyika mwaka huu kama unavyotakiwa kikatiba.

Amesema Watanzania hawako tayari kusikia hadithi za kusogeza mbele uchaguzi hata wiki moja. Akisema 'jambo hilo halitakubalika, halitakubalika, halitakubalika'

Akielezea mahesabu yanayoibua sintofahamu kubwa kuhusu hatma ya uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, huku akionesha namna ambavyo nchi imegubikwa na giza nene kwa sababu hadi sasa NEC inasua sua kufanya maandalizi ya msingi huku muda ukizidi kuyoyoma mbele ya maelfu ya wananchi wa Bukoba waliohudhuria mkutano wa hadhara Uwanja wa Uhuru Platform Mbowe alimtaka Kikwete kuliambia taifa serikali pamoja na NEC watafanya nini ili uchaguzi ufanyike mwaka huu Oktoba 25 mwaka huu Kwa mujibu wa katiba
Zitto akiwa mkutanoni anazungumza jinsi ya kupata MGAWANYO SAHIHI WA RASLIMALI,SOKO LA PAMBA,KOROSHO!Lakini hawa ni BVR,UCHAGUZI,KATIBA&NEC!Zitto ni Mroho wa madaraka
 
Sisi Tumeshatoka sasa hivi soma limeshawaingia Watanzania october tunamaliza mambo michepuko hakuna huku

Hicho ndo mnachojidanganya mtaishia kulalamika mmeibiwa kura baada ya kuangukia pua, acheni jazba na mihemko
 
Ongea kwa facts Acha poyoyo, nani kakwambia mbowe kaishia fomu iv????
 
Hicho ndo mnachojidanganya mtaishia kulalamika mmeibiwa kura baada ya kuangukia pua, acheni jazba na mihemko

Wekeni futuhi ndio utajua ni jazba au nimihemko.. watanzania hawataki maigizo tena ya bwana upara aka Tembo Man
 
Wekeni futuhi ndio utajua ni jazba au nimihemko.. watanzania hawataki maigizo tena ya bwana upara aka Tembo Man

Unaongea na mtanzania pia, acheni mihemko na jazba kwanza ndo mpewe nchi, muda wote kufokafoka sijui mmekula maharage ya wapi
 
Unaongea na mtanzania pia, acheni mihemko na jazba kwanza ndo mpewe nchi, muda wote kufokafoka sijui mmekula maharage ya wapi
Kwakua nyie ndio sikio la kufa ndio maana tunawaingizia dawa kwa lazima
 
Mkuu umesahau chadema ndiyo waigizaje wakubwa wanacheza mpaka movie za kujiripua wenyewe.
Yale ambayo Serekali ya Ccm iliogopa kuaibika ndio maana wakakata kunda tume huru ya kiuchunguzi mpaka leo dana dana ninyingi sana?
 
MABADILIKO GANI YATATOKEA?Mbona kila siku mnaota ndoto za mchana humu jukwaan?Halafu unakashifu watu eti STD seven wakati Mbowe mwenyewe ambaye ni kiongoz wako ni form alishindwa mitihani.Yaan huyo form four ndo amwambie JK ujinga wa maandaz?
Wewe una akili kweli au umekurupuka?ndo madhara ya hii elimu ya Mulugo?.Wewe kwa akili yako hapo unaona kuna mtu amekashifiwa kuwa ni STDVII au ni ID yake!
 
Back
Top Bottom