residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,904
- 14,285
Mwendazake pamoja na juhudi zake zote ,alishindwa kumsajili Mnyika.He was the best, mambo yakapoa kuanzia pale, katibu aliefuata akaunga juhudi, vizuri yuko Mnyika sasa.
Mnyika pamoja na kutokuwa na elimu kubwa sana ya kimfumo, ni moja ya watu wenye elimu kubwa sana ya kimtaa, werevu, busara, akili na unyenyekevu.
Moja ya watu ambao wanatakiwa watumike "fully" kulisaidia taifa ni pamoja na Mnyika, Mbowe, Lissu, Heche, Wenje, Kibatala na Kigaila.