Je Ndugai?Mbowe ni Mkristo 😄
Serekali inamuhudumia kama mabalozi wengine wastaafu?Balozi mstaafu.
Katumikia miaka yake vizuri tu
Sasa huoni kuwa ni faida kwenu kwa CCM kuweka mwenezi mwenye sifa mbaya? Au pia nyie CHADEMA huwa mnakubali bila CCM imara nchi itayumba?Ok. Yote ni heri.
Mbona ninyi ccm mmekabidhi kazi ya kueneza chama kwa muuaji, mtekaji, mporaji na mpiga risasi?
Pamoja na kwamba serikali ya Marekani imemtangaza Makonda kuwa ni mtoa roho za watu lkn bado mmefumba macho.
Sijui,tatizo nayeye haeleweki mara kushoto mara kulia sasa labda wamemkatia data ndio maana anabwatabwata tu.Serekali inamuhudumia kama mabalozi wengine wastaafu?
Hivi slaa siyo balozi? Au alishanyang'anyw hadhi ya kutambulika kama balozi
Mlikuwa wapi Wakuu Dr. Slaa Alishavuliwa hadhi ya ubalozi siku nyingi sana na Rais Samia nadhani kama si mwaka Jana mwanzoni basi mwaka juzi mwishoni.Balozi mstaafu.
Katumikia miaka yake vizuri tu
Hao wawili walisema watashiriki maandamano ya Mwanza na walikwenda kushiriki, hata wewe na mama walikaribishwa kwani yaliwahusu wananchi wote bila kujali itikadi.Habari JF, life it's too short guys.
Nimesikia Mh. Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza.
Mh. Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Then anasema naomba nimtambulishe rafiki yangu Doctor Slaa, karibu sana.
Doctor Slaaa anakwenda mbele wanapeana mikono Mh. Mbowe anawaambia wanachama wasimuilize Doctor Slaa yuko wapi.
(Msiniulize doctor Slaa yupowapi, simnamuona hapa chadema?.
Alafu anamtambulisha na Mwabukusi wanasimama pamoja wote na Doctor slaa then Mwenyekiti anawaambia karibuni sana tufanye kazi.
Mboe yupo vizuri upstair, he knows how to play the game, so far Doctor Slaa na Mwabukusi watakisaidia chama kuonyesha dira na malengo.
Tundu anatuchalewesha sana, anapenda misifa na kulialia24/7.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ndugai ni Mshauri wa Askofu Mkuu wa CanterburyJe Ndugai?
🤣🤣🤣🤣Ndugai ni Mshauri wa Askofu Mkuu wa Canterbury
😆😆😆😁 unamhadaa nani?Mimi sio ccm
Ndiyo unavyojidanganya? Au kwa akili zako unadhani hapo tayari kuna mgohoro?Tundu anatuchalewesha sana, anapenda misifa na kulialia24/7.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mwabukusi ni mwehu
Na wale 19 wanaweza warudi hakuna rafiki au adui wa kudumu.Habari JF, life it's too short guys.
Nimesikia Mh. Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza.
Mh. Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Then anasema naomba nimtambulishe rafiki yangu Doctor Slaa, karibu sana.
Doctor Slaaa anakwenda mbele wanapeana mikono Mh. Mbowe anawaambia wanachama wasimuilize Doctor Slaa yuko wapi.
(Msiniulize doctor Slaa yupowapi, simnamuona hapa chadema?.
Alafu anamtambulisha na Mwabukusi wanasimama pamoja wote na Doctor slaa then Mwenyekiti anawaambia karibuni sana tufanye kazi.
Mboe yupo vizuri upstair, he knows how to play the game, so far Doctor Slaa na Mwabukusi watakisaidia chama kuonyesha dira na malengo.
Tundu anatuchalewesha sana, anapenda misifa na kulialia24/7.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Punguza fikra za kitumwa mkuu,hata wewe unauwezo wakupima unacho ambiwa, kuwa mmarekani akisema kilakitu ndio ukweli it's sort of stupid mind.Ni uwongo!!
Unajifanya wewe unajua zaidi kuliko serikali ya Marekani?
Muulize chairman the boss him self.Wamerudisha kadi ya vyama vyao au wamekaribishwa kama marafiki katika siasa?
Nisawa lakini hao wawili walifanyiwa utambulisho maalum na kuambiwa karibuni tufanye kazi.Hao wawili walisema watashiriki maandamano ya Mwanza na walikwenda kushiriki, hata wewe na mama walikaribishwa kwani yaliwahusu wananchi wote bila kujali itikadi.