Mbowe amtambulisha Dkt. Slaa

Mbowe amtambulisha Dkt. Slaa

Mzee yupo ila kachoka sana yamebaki maneno tu,mara ya mwisho tulikutana mahali safarini tukasalimiana alikua katoka kwenye majukumu nchi nyingine.
Ndo tukakutana ghafla tu.nikawa nawaza tu kwamba mzee amalize muda apumzike.
No ndo kwaanza alipomaliza kaanza tena.
Pensheni yake kwa cheo alichoacha angekula mpk kifo.
Sasa hatujui walikorofishana nini huko mpk kunyanganywa hadhi yake.
Ambapo unanyanganywa maslahi pia.
Sasa ndio tuwaachie wao na game lao.
Mzee angerudi kinyonge hakosi kazi ukurugenzi,makamu mwenyekiti kamati ya blah blah analipwa.

Duhh kweli siasa mchezo mchafu.. halafu sia alipararaizi mikono mmoja hivi alishapinaga??? Dahhh siasa sio poaaa

Cc @Smart912
 
Sala ndiye mgombea wa Urais kupitia chadema 2025
 
Bora huyo Slaa kuliko ule ujio wa Lowassa ndani ya cdm. Angaau anaweza kushauri namna nzuri ya cdm kujiendesha kitaasisi.
Siku chache zijazo utasikia mpasuk cdm muda utaongea
 
Mimi sio ccm mkuu kubali kataa, alafu hayo matuhuma unayo mpachika huyo jamaa niupuuzi mtupu.

Kuwa makini acha kufuata mikumbo ya propaganda chafu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Wewe @Liwagnihuna akili ni sawa na mende tu, hustahili kuwa jujwaa hili. Nani anampachika tuhuma Makonda? Makonda amefanya uhalifu dhahiri halafu wewe unasema eti "matuhuma mnayompachika"

Subiri kipindi cha Samia kiishe ndiyo utajua kuwa Nyamitako ni mfungwa mtarajiwa
 
Bora wa kulia lia kuliko msaliti.

Lakini kulia lia kwa Lissu ni sahihi kweli?

Mtu aliyepigwa risasi 39 hakukata tamaa na bado anaandamana kwa ajili ya shida zako!

Wewe ni kafiri na chawa wa msaliti Slaa
Ndio unavyo danganywa kwamba lisu anaandamana kwasababu ya shida zako.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Wewe @Liwagnihuna akili ni sawa na mende tu, hustahili kuwa jujwaa hili. Nani anampachika tuhuma Makonda? Makonda amefanya uhalifu dhahiri halafu wewe unasema eti "matuhuma mnayompachika"

Subiri kipindi cha Samia kiishe ndiyo utajua kuwa Nyamitako ni mfungwa mtarajiwa
Watu kama wewe mnao tukanatukana hovyo maranyingi ni weupe kichwani ndio maana inakuwa rahisi kuhalalisha mambo ya kusikia.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom