Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,537
- 6,640
🤣🤣🤣Daaaaah!Asante kwa Bandiko.
PambanaZaidi/CottonandMore
🤣🤣🤣Daaaaah!Asante kwa Bandiko.
PambanaZaidi/CottonandMore
Huyo mzee hivi bado yupogo doh!
Sina sababu ya kumhadaa mtu yoyote, Mimi na ccm nikama tulivyo mimi na wewe tusivyo juana humu.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16] unamhadaa nani?
Hauelewi nini hapo?au tukuandikie ubaoni?Wamerudisha kadi ya vyama vyao au wamekaribishwa kama marafiki katika siasa?
Hahahaa punguza dharau mkuu, kumbuka Chair man amempa special tension!.Mwabukusi ni mwehu
Kabisa!.Na wale 19 wanaweza warudi hakuna rafiki au adui wa kudumu.
Kwa viwango vyote vya upimaji makonda ni mhalifu. Labda kama mtu ana mtindio wa ubongo ndiyo anaweza kushindwa kuona uovu wa Makonda.Punguza fikra za kitumwa mkuu,hata wewe unauwezo wakupima unacho ambiwa, kuwa mmarekani akisema kilakitu ndio ukweli it's sort of stupid mind.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kwani Tundu hagombei tena!!.Mwakani mimi mgombea wangu wa Urais ni Mnyika John John!
Mimi nikisema wewe nimuovu kama siwezi kudhibitisha nitapuuzwatu.Kwa viwango vyote vya upimaji makonda ni mhalifu. Labda kama mtu ana mtindio wa ubongo ndiyo anaweza kushindwa kuona uovu wa Makonda.
Huyo ana mihemko sana akae pembeni bwana!
Kuabudu watu hakutatutoa hapa tulipo.Mimi ni muumini na mfuasi wa Jembe Magu
Nadhani umeshaelewa ninacho maanisha, kama huelewi basi umeme unakuelewesha.Kuabudu watu hakutatutoa hapa tulipo.
Najiulizaga kwanini chairman hagombeagi hiyo nafasi.Huyo ana mihemko sana akae pembeni bwana!
Chama cha mtu mmojaKaribu nyumbani Mzee.
USA nchi yenye heshima kubwa duniani hawana ugomvi na Makonda, lkn waesema ni mtoa roho za watu. Kwann wasiaminiwe?Mimi nikisema wewe nimuovu kama siwezi kudhibitisha nitapuuzwatu.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Wewe ni taploo [emoji706][emoji706]Habari JF, life it's too short guys.
Nimesikia Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza.
Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Then anasema naomba nimtambulishe rafiki yangu Doctor Slaa, karibu sana.
Doctor Slaa anakwenda mbele wanapeana mikono Mbowe anawaambia wanachama wasimuilize Doctor Slaa yuko wapi.
(Msiniulize doctor Slaa yupo wapi, simnamuona hapa chadema?.
Halafu anamtambulisha na Mwabukusi wanasimama pamoja wote na Doctor slaa then Mwenyekiti anawaambia karibuni sana tufanye kazi.
Mbowe yupo vizuri upstair, he knows how to play the game, so far Doctor Slaa na Mwabukusi watakisaidia chama kuonyesha dira na malengo.
Tundu anatuchalewesha sana, anapenda misifa na kulialia24/7.
Acha kutishia watu fala wewe,unatishia kujamba angalia usiharisheMimi sio ccm mkuu kubali kataa, alafu hayo matuhuma unayo mpachika huyo jamaa niupuuzi mtupu.
Kuwa makini acha kufuata mikumbo ya propaganda chafu.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app